Recent content by Captain Donor

  1. Captain Donor

    Niinue(ni), niwekeni salama

    Shukran pia[emoji1666]
  2. Captain Donor

    Niinue(ni), niwekeni salama

    Black Panther: Wakanda Forever. Lipi linakujia kwenye fikra zako ukijaribu kuiwaza Afrika bila ya mipaka? Afrika ambayo haitafsiriwi tena na tukio la kihistoria lililotokea Berlin mnamo mwaka 1884 mpaka mwaka 1885. Binafsi nikianza kuwaza kwenye fikra zangu naliona bara lenye maendeleo ya...
  3. Captain Donor

    Black Panther 2

    Mimi ni kama wale walimu ambao hawataki wanafunzi wapate 100/100 kwa kutumia kauli "Hatujatunga mtihani pamoja, inawezekana vipi upate zote"[emoji23] hata kama mwanafunzi amepata zote kweli atajitahidi kutafuta vikosa vidogo vidogo hata viwili ili ampe 98 au 99. Na mimi nimeipa 9/10 kwasababu...
  4. Captain Donor

    Black Panther 2

    At last... nimeuona muendelezo wa Black Panther. It's a 9/10 for me, I enjoyed watching it on the screen mirrors reality, and I think the movie owes me a review.
  5. Captain Donor

    Black Panther 2

    Yeah PG guidance bado ni tatizo kibongo bongo.
  6. Captain Donor

    Black Panther 2

    Hakika, na pia uzuri kuna Parental Guidance (PG) rate ya umri kwenye kila movie huwa wanaweka. Lengo ni ili kile kinachoonyeshwa kiandane na uwezo wa mtu kupokea maudhui yaliyomo kwenye filamu. Ukiachana na kuwa siku hizi makampuni mengi yanayojihusisha na utengenezaji wa filamu yanaingiza sana...
  7. Captain Donor

    Black Panther 2

    Uhakika[emoji110]
  8. Captain Donor

    Black Panther 2

    Zimebaki siku 30 tu hadi kufikia siku ambayo muendelezo wa filamu ya Black Panther kuanza kuonyeshwa kwa mara ya kwanza. Kama alivyopata kusema Baba wa Taifa hili Mwalimu Julius Kambarage Nyerere, "Elimu ni kujifunza kutokea kwenye vitabu, kutokea kwenye radio, kutokea kwenye filamu, kutokea...
  9. Captain Donor

    Hivi karibuni, bonge ya burudani!

    Kombe la dunia 2022 nchini Qatar lipo njiani. Zikiwa zimebaki siku 47 tu kipenga cha kwanza kupulizwa wachezaji wenye timu zao zilizofuzu kushindania kombe hilo kuanza kupimana nguvu. Ni mtanange wa kusakata kabumbu! na nani mkali zaidi na mwenye bahati zaidi itajulikana siku kipenga cha mwisho...
  10. Captain Donor

    SoC02 Tutengeneze safina

    Ahsante kwa kusoma andiko na unakaribishwa kuchangia na nguvu pia[emoji16] Unaweza kutazama filamu inayoitwa Evan Almighty ya mwaka 2007 ili kupata mtazamo chanya zaidi.
  11. Captain Donor

    SoC02 Tutengeneze safina

    Ahsante kwa kusoma andiko hili Brother.
  12. Captain Donor

    SoC02 Tutengeneze safina

    Maisha ni safari ndefu na kila hatua anayoipitia mwanadamu katika safari ya maisha ulimwenguni ina mazingatio makubwa sana. Kuzaliwa ndio pito namba moja la mwanadamu yeyote kuianza safari ya kuishi hapa duniani, lakini kabla ya kuzaliwa kuna mapito kadhaa ya kibayolojia mpaka kufanyika mtoto...
  13. Captain Donor

    SoC02 Mimi ni nani?

    Hatimaye!, usiku wa deni haukawii kukucha. Ujumbe kutoka kwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania kumsihi kila mtazania mwenye simu ya mkononi kushiriki sensa kikamilifu umenifikia. Nipo tayari kuhesabiwa. Lakini wakati nikiwa namsubiri karani wa sensa atakayepita kwenye kaya niliyoamkia...
Back
Top Bottom