Huyu farasi mkuu nimemuelewa sana,kuna mambo umeandika humu nitaenda kufanyia kazi nione,kwa sababu nawasikia tu hawa wachungaji na manabii,twende mlimani,wengine msituni. Kumbe kuna nguvu ipo kwenye mazingira haya haya tu.
Kuhusu uandishi wako, huko poa makosa madogo ya spelling tu. Ila...