Recent content by Capri-point

  1. C

    Mwigulu, Society and Useless PhDs

    Mkuu Nietzsche, kwanza nikushukuru. Binafsi nafikiri hili ni moja ya mabandiko kiboko niliyoyasoma humu mwaka huu. Pili, niungane na mchangiaji hapo juu, na niseme tu kwa kweli kwamba Watanzania kama jamii tunachezewa sana na hawa jamaa. Ifike mahali sasa na sisi TUSHITUKE. Things can't go on...
  2. C

    UK statement following the Presidential Elections in Tanzania

    Hivi umeiona hiyo phrase ya "pre-filled ballot boxes" hapo juu lakini? Kwa wenzetu, hiyo ni allegation mbaya sana. Eti "nothing more". Akili za matope hizi.
  3. C

    Tumeumia, lakini chonde chonde tusiandamane...

    Wewe kaa nyumbani sisi tutaandamana!
  4. C

    Baada ya ukweli wa Erick Kabendera kubainika, wote walionituhumu kuhusika nimewasamehe kwani Mungu amewasamehe. Msirudie tena!

    Shukurani ndugu kwa somo hili. Hapo juu kwa kina Mazegenuka nimekuelewa sana. Duh! Ama kweli nchi hii imetoka mbali.
  5. C

    Ana kwa ana na Mwigulu Nchemba: Kuelekea Uchaguzi Mkuu 2020

    Nietzsche, Hii ni bonge la point yaani! Mkuu umemaliza kila kitu. Nimesoma nikamaliza halafu nikajikuta narudia tena kwa kunogewa. Hii sasa ndiyo jamii forum tunayoimiss, ile tuliyokuwa nayo enzi zile.
  6. C

    Marehemu Lwajabe anatajwa katika sakata la Kabendera; Kuna nini?

    Naam!! Umenifungua macho mkuu. Asante sana bosi.
  7. C

    House panel approves articles of impeachment against Trump

    Mkuu Nietzsche umepiga mlemle kabisa. Asante kwa ujumbe huu murua!! Tatizo letu kubwa ni uoga!! Hapo ndipo ulipo mushkeli wetu.
  8. C

    Tafakuri ya Uzalendo: Tanzania na Fumbo la "Uzalendo-pofu"

    Hili bandiko nimelikubali. Mkuu mleta hoja heshima yako kuu sana mkuu. Maada za watu vichwa kama nyinyi watu wanaojifaraguaga na uchambuzi wao uchwara, hasa wale wana Lumumba, hawazigusi. Wanaziogopa kama ukoma!! :D:)
  9. C

    Tundu Lissu: A politician and a philosopher

    Jadili hoja zake, acha kumtukana. Kama ni "mlopokaji" mbonai umeshindwa kujibu japo moja kati ya hizo hoja zake lukuki alizoziweka hapo juu?? Acheni UZWAZWA. Na kama mna mrija kwenye huu utawala wa kiuwaji, kaeni kimya! Si bure, wewe utakuwa ni mtu usiyejulikana tu wewe. Nyie subiri tu. Dawa...
  10. C

    Tafakuri ya Uzalendo: Tanzania na Fumbo la "Uzalendo-pofu"

    Wow! Hii ni elimu ni kali. Jamani kuna watu wana akili. Sidhani kama kuna upinzani katika haya uliyoandika! Ndiyo maana huwaoni kina Pascal Mayala hapa. Hizi ni hoja nzito mno kuhusiana na uzalendo.
  11. C

    Ziara ya Mwanasheria Mkuu wa CHADEMA Tundu Lissu, Ulaya na Marekani

    Mh! Hii comeback hii siyo mchezo!! Paskali umepatikana leo :D:D
  12. C

    Rais Magufuli ameirudisha nchi kwa wananchi

    Ujinga uliokubuhu! Huyo Ayubu Rioba anajipendekeza mbaya. Hii ni pale bwanyenye au kikaragosi anapojipendekeza kwa mkoloni mweusi.
Back
Top Bottom