Recent content by cappachinno

  1. cappachinno

    Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

    Kumbe alilipwa? Asa mnakunja nn?
  2. cappachinno

    Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

    Haswaa, Kuna tofauti ya uungwana na udhaifu uliokithiri...choose uno.
  3. cappachinno

    Waziri gani alimdhulumu Rais mstaafu Mwinyi vifaa vyake vya ujenzi?

    Yeye mwenyewe dhulumat ndo maana akamsamehe dhulumat mwenzake. Kiatu uvundo, soksi ndo acha kabisa. Mchafu hachafuki.
  4. cappachinno

    Kwa wale wenye "MAJINI" vichwani au pembeni yao

    Halafu wewe Mufty wewe...!? Haya we twende tu.
  5. cappachinno

    Hivi mtu hujaulizwa, hujasemeshwa, unapewa nafasi ya kusema machache kwenye hafla, halafu unaanza tu kujitetea mara hooh Mimi mbona mwema tu n.k...

    Mi shida yangu ni hao wataalamu unaowaongelea mkuu... Unajuaje huyo mtaalamu anafafanua kwa mlengo wa upande upi? Nahisi kila alietaalamiwa kwenye hizo taaluma atafafanua kwa maslahi yake binafsi. Kwa mfano mie nimeshachoshwa kupandikizwa itikadi ambazo kwangu hazina maslahi... Kila mja na...
  6. cappachinno

    Mjue Kanali Ali Mahfoudh

    Dah, nishai mzee wangu... mnyamwezi alikua bonge la handsome boy.
  7. cappachinno

    Kanali Mahfudh ni nani hasa?

    Ka kuna mtu humsikia akitajwa Mara nyingi zaidi ya lundo, Nn huyo bingwa hapo. Ila ndo sijawahi pata mjuzi aliejuzwa barabara taarifa zake Ila nae aniambukizie kiaina. Kwa yeyote mzalendo anaependa tuwafahamu mashujaa wetu na kwa faida ya madogo janja wengine. Shoot it....
Back
Top Bottom