Mie nilishasema bila kuondoa mafisiem, kuendelea kwa Tanzania hakupo kabisaa.. watanganyika tatizo ni majuha, yaani hayaelewi chochote.. ilitakiwa tukomboe nchi yetu ya asili kwanza, theni hizo takataka za muungano ziongeleke kiutu uzima.. kwani nini bhanaa
Maccm ni mabingwa wa vitu feki. Hata hilo limeli ni feki alimradi tu kuwaibia watanzania.. wallahi siku tukiikomboa nchi yetu, firing squad inamhusu huyo chura kiziwi
Hahaa.. CCM wanateneneza institution feki kama Tume ya Uchaguzi.. halafu kumbe matokeo wanayo tayari.. Intent na approach inaonekana ni genuine ili kuwahadaa wananchi, kumbe kila kitu ni feki, feki kabisa. Maccm yanabumba bumba chuo na kukifanya chuo kikuu, lakini kimsingi hicho ni chuo kikuu...
True dat! Ndo maana unazisikia ng'ombe kadhaa zinatoa milio likiguswa swala katiba mpya.. wanajuwa dimbwi likikaushwa, vyura na kono kono mwisho wao ndo utakuwa umewadia..
😂😂.. hii ndo sink tank ya CCM.. no wonder Tz is what it is.. a shythole nation, with dumbs like you.. the starting point would be to enlighten the masses through social media and that's what this thread is about..
Hizo mbinu alizong'olewa nazo kaburu usidhani zinapatikana mbinguni.. watz hawajaamua tu kuzitumia.. siku wataamua liwalo na liwe.. ni suala la muda tu
Inahuzunisha sana mkuu... mbinu mojawapo ya maccm, ambayo haina tofauti kabisa na wakoloni ni kuwaadhibu watu wasiowaunga mkono. Ndo maana nimesema mabeberu huwa yanawapa mbinu namna ya kuwalazimisha watu. Hali ya Mbeya inasikitisha zaidi maana lile vumbi siyo la dunia hii. Maccm yaliamua...
Ni hatari sana kiongozi.. ukienda maeneo mengi ya Tz, mijini hadi vijijini utashangaa sana. Yaani kuna umaskini wa kutisha. Si kwamba watu hawafanyi kazi, la. Ni kwamba ili ufanikiwe lazima uwe na connection ili kazi zako ziwe nabtija, ili taasisi uchwara za masisiem zisikusumbue. Hadi...
Wana JF.
Mosi, naomba moderator usiunganishe huu uzi na nyuzi zingine zinazoongelea CCM. Huu ni uzi mahsusi.
Facts:
1. Tanzania ni nchi maskini sana katika viwango vya kimatataifa licha ya kujaaliwa na kila aina ya raslimali
2. Uchumi wa Tanzania unadhibitiwa na watu wachache sana licha ya...
Hata akili huna. Hao walotoa hiyo bilion ulishasikia wapi wametoa bilioni kujenga hata shule au hospital? Hao huwezi kuwaita matajiri, ila ni malimbukeni flani hivi. Kingine, cdm haitaki pesa chafu. Saa nyingine uwe unaficha upumbafu wako. Jiheshimu
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.