Kwa mahitaji ya vibanda vya kisasa.
Tunatumia mbao ngumu na bodi ngumu. Finishing ya film stickers na PVC panels.n.k
tupe oda boss tukutengenezee lako.
Vibanda vya juice.
Vibanda vya wakala.
Vibanda vya migahawa.
Vibanda vya walinzi.
Vibanda vya ofisi ndani ya magodauni ya viwandani.
Boss...
shelves za madukani.
maduka ya simu,vipodozi,vifaa vya umeme, supermarkets. duka la dawa.
tupe oda boss tuje kutengeneza shelves za duka lako.
tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kazi.
0692477610
kitchen cabinets za kisasa kabisa ���..
karibuni sana maboss zangu bei zetu zipo chini sanaaaaa ila ubora wa kazi ni 🔥
gharama za kutengeneza kitchen cabinet inategemea na ukubwa wa eneo lako la jiko na material utakayohitaji tutumie..
tupo dar mbagala mikoani tunafika kufanya kaz..
0692477610
Viti vya pallets Kwa ajili ya migahawa,pub,cafe na bar.
Tupe oda boss tukutengenezee viti vyako tunatumia mbao ngumu( mlingoti)
Tupo Dar mbagala mikoani tunafika kufanya kazi
0692477610
maboss zangu showcase za ukutani za bei rahisi kabisa ila muonekano 🔥🔥
hiyo niyaukutani lakini pia inahamishika.
showcase tu bila taa za urembo 480k
tupi dar mbagala
0692477610
Apna boss. Ni melamine board, PVC panels na Mable sheet.
Najua umeuliza natumia mninga ukiamini mninga ndio mbao ya gharama..
Google izo material zinazotumika uliona bei zake utarudi kuja kutoa ushuhuda na kusema iyo 550 ni kubwa au ndogo
🤣🤣 Mzee hapo akuna material yakupigwa rangi apo izo mbao ni melamine board google uonebei zake.. pembeni kushoto ni PVC panels kagoole bei ya pc 1..
Hapo kwny tv ni Mable sheet nayo google bei yake Kisha irudi useme iyo 550k ni sawa au niongeze.
boss kwa laki 9 na nusu Hadi Milion 1 na laki mbili..
unajipatia showcase za kisasa kabisa 🔥 🔥..
hizi bei unazipata kwa fundi mkuu tu..
boss wangu ukihitaji kujua gharama niambie ukuta wako unaukubwa gani na unataka design ya aina gan..
tupo dar mbagala.. mikoani tunafika kufanya kaz...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.