Binafsi hata maneno ya kusema mkuhusiana na suala hili yalishaisha,kweli jamani!!! umasikini unazidi kututafuna waafrika specifically wa Tz, nimebahatika kutembelea maeneo mengi ya vijijini for God's sake! kuna maeneo ukifika utadhani sio tz,yaani hali ya maisha ni ngumu na duni kupita...
Napenda kuchukua fursa hii kuwapongeza sana wana JF, you are real a home of GREAT THINKERS,huwa napenda sana kusoma mambo mbalimbali kutoka kwa wadau na nimejifunza mambo mengi sana,hatimaye nimeona na mimi nijiunge na wana JF rasmi ili niweze kutoa maoni yangu kuhusu mambo mbalimbali, na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.