Recent content by calvinminja

  1. C

    Nahitaji kujua.

    sikujua naona ulimbukeni unaniaumbua alf kila jina humu ni la kipekee ndicho kilichonisanua. Acha na mimi nijiite mdau wa jamii foroum
  2. C

    Nahitaji kujua.

    Hivi haya majina yanayotumiwa na watu hapa Jamii foroums ni majina halisi au ni yakusadikika? Tujuzane tu wanandugu na sababu ya kutumia majina hayo.
  3. C

    Si kila wanachofanya CHADEMA kiko sahihi

    Nini maana ya utandawazi? siku hizi bro kuna free flow of news hii inachagizwa zaidi na maendeleonya sayansi na teknolojia unavosema wasomi wengi wapo mjini na ndio watumiaji wa social network sio kweli maana mimi mwenyewe nipo mjini bado sijafikia hiyo levo ya elimu ya kuitwa msomi ndio...
  4. C

    Si kila wanachofanya CHADEMA kiko sahihi

    sijui ila maana halisi ya neno msomi ni mtu wenye elimu ya chuo kikuu. sasa sijui ni watu wangapi humu wanahiyo elimu najua umenielewa sema unaikuza mada tu
  5. C

    Si kila wanachofanya CHADEMA kiko sahihi

    unataka takwimu?? turudi kwenye sensa ya watu na makazi ya mwaka 2012 ilisema Tanzania inawasomi milioni mbili na watumiaji wa hii platform ni wangapi?? idadi unayo wewe watanzania wengi wanabasic education ambayo ni darasa la saba. Tukianzia hapo pigia idadi ya wanafunzi wanaoanza darasa la...
  6. C

    Si kila wanachofanya CHADEMA kiko sahihi

    Sasa nini maana ya kuwa na vyombo vya usalama?? Nafikiri jeshi la polisi lingethibitisha hiyo taarifa ya Mbowe mbona kungekuwa hakuna tatizo. Nafikiri kwa uelewa wangu mdogo mamlaka husika hazifanyi kama inavyopaswa kufanya hasa likija suala la kusimamia sheria.
  7. C

    Si kila wanachofanya CHADEMA kiko sahihi

    Naomba kukuuliza swali hivi Twaweza wakiwa wanafanya utafiti huwa wanatukia njia gani?? Miongoni mwa njia ni simu kama unaona mtandaoni kuna mpasuko basi ujue hata hapo ulipo kunamgawanyiko Tanzania hakuna siasa za kijamaa. Tukienda mwa majirani zetu Kenye wapinzani wamepewa ulinzi siku...
  8. C

    Si kila wanachofanya CHADEMA kiko sahihi

    Kuna jambo moja nataka kukuambia kuna njia mbali mbali za kudai haki zipo njia za amani na pia njia za vurugu. Ukiona watu wanatumia nguvu kudai haki zao ujue basi kwenye njia ya amani imeshindikana. Viongozi wa pande zote mbili wanatakiwa wajitadhini, wakae chini waweze kujadiliana juu ya...
  9. C

    Si kila wanachofanya CHADEMA kiko sahihi

    Naomba unitafutie takwimu za watu wanaomiliki simu za mikononi nchini Tanzania. Najua TCRA watakuwa wametoa takwimu zao vizuri tu. Ninachotaka kukisema nafikiri asilimia 50 ya watanzania wanamiliki simi za mkononi na katika hiyo asilimka hamsini tuassume watanzania asilimia 30 pekee wanamiliki...
  10. C

    Si kila wanachofanya CHADEMA kiko sahihi

    Nafikiri huna hoja za kuendeleza mada ndio maana umenza kuja na hoja dhaifu. Huko USA mauaji yakitokea aliohusika na mauaji anachkuliwa hatua A to Z lkn Bongo kwenye sheria kufuata mkondo wake ndio pagumu watu wangapi wameuwawa au kupotea na hakuna taarifa rasmi kutoka kwa polisi ambao ndio...
  11. C

    Si kila wanachofanya CHADEMA kiko sahihi

    tunarudi nyuma kidogo... hivi unazijua njia za kutatua mgogoro?? ways of problem solving?? lazima ujue tatizo ndio ujue nani alio kosea. Kwa kifupi CDM waliandamana wakiwa na sababu zao binafsi ikiwemo kuchelewesha kwa barua za kiapo kwa mawakala wao wa uchaguzi. Pia watu wanawalaumu polisi kwa...
  12. C

    Si kila wanachofanya CHADEMA kiko sahihi

    kabla ya mahakama kutoa hukumu huwa inawapa kazi polisi ya kufanya uchunguzi then kama mtu akibainika amehusika ndio hukumu inamhusu. Nini maana ya kufanya uchunguzi?? Nibkutaka kujua chanzo cha tatizo na huwa wanatoa takwimu zao pia kesi za ubakaji ni ngapi kwa mwaka na kinachowafanya watu wawe...
  13. C

    Si kila wanachofanya CHADEMA kiko sahihi

    kama wapo wasomi wanaotukana katika asilimia mia moja basi 25 ndio watukanaji iliobakia wanajua wanachokifanya mtandaoni. Hoja nyingi zinazotolewa ambazo zinahitaji majibu kutoka chadema zimekuwa zikiwagandamiza ndio maana yote hayo yanatokea unayoyasema.
  14. C

    Si kila wanachofanya CHADEMA kiko sahihi

    kama ni msomaji wa comment utagundua watu wengi huwa wanachangia nje ya mada hii inatikana na uelewa mdogo juu ya mada (elimu). Chadema nao wanastahili lawama kwa upande flani lkn kabla ya kuwalaumu unatakiwa kujua sababu ya wao kuwa chanzo cha matatizo.
  15. C

    Swali.

    Maana halisi na maana ya ziada ya neno mpenzi mtazamaji.
Back
Top Bottom