Recent content by Calvina Calvinah

  1. C

    JamiiForums Tanzania Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

    Mnahamisha kwa bei gani ikiwa umbali sio mkubwa!?
  2. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya mahindi Dar

    Wapi hapo ndugu
  3. C

    JamiiForums Tanzania App ya kupakua action Movies

    Application gani nzuri kwa ku download Movies za Action
  4. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya mahindi Dar

    Anayejua chimbo la Mahindi mazuri kwa Dar es Salaam jamani atujuze na bei yake
  5. C

    JamiiForums Tanzania Naomba kujuzwa bei ya mahindi Dar

    Bei ya Michele huko kwenu ipoje?
  6. C

    JamiiForums Tanzania House4Rent Nyumba inapangishwa Gongo la Mboto

    Chumba kipo Gongo la Mboto Maeneo ya Kaburi Moja Mwisho wa Lami. Kina choo ndani,kioo ndani ya geti , kina madirisha ya vioo,tailiz, feni ya juu na usalama upo wa kutosha. Anayetaka aje nimpeleke bure na akikipenda atanirudishia kodi yangu yeye andelee kukaa. KODI NI ELFU 80 kwa mwezi hakuna...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Mpangaji sema unataka kupanga wapi mwenye nyumba akujibu mmalizane bila udalali

    Chumba kipo Gongo la Mboto Maeneo ya Kaburi Moja Mwisho wa Lami. Kina choo ndani,kioo ndani ya geti , kina madirisha ya vioo,tailiz, feni ya juu na usalama upo wa kutosha. Anayetaka aje nimpeleke bure na akikipenda atanirudishia kodi yangu yeye andelee kukaa. KODI NI ELFU 80 kwa mwezi hakuna...
  8. C

  9. C

  10. C

    JamiiForums Tanzania Vituko mitandaoni. Tupia chako

  11. C

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

    Haiwezekani kwenye umepata msiba ukasikiliza Nyimbo za amapiano utaishia kuchanganyikiwa
  12. C

    JamiiForums Tanzania Nyimbo gani umeshawahi kuzisikiliza 'non-stop' zaidi ya siku mbili?

    Unasikiliza nyimbo kutokana na hali uliyonayo kwa mda husika.Huwezi kusikiliza Wimbo wa furaha wakati wa huzuni.
  13. C

    JamiiForums Tanzania Hivi kuna movie yeyote tamu na kali inayoizidi Apocalypto?

    Aliyetengeneza hiyo movie anasanamu lake mbinguni yaani ni bonge moja la idea
  14. C

    JamiiForums Tanzania Mapishi ya makange ya kuku

    Anayejua kutengeneza makange ya kuku tafadhali anipe maelekezo
  15. C

    JamiiForums Tanzania Je, kuna somo ambalo hutakuja kulisahau kwa jinsi lilivyokutoa jasho?

    Ulijuaje boss hiyo ni kipengele
Back
Top Bottom