Mdudu tishio kwa usalama wa chakula nchini kutoka bara la america ameanza kuwatesa wakulima Tanzania angalia makala hiyo. Anakula mazao zaidi ya 80, anatembea kilometa 100 kwa usiku mmoja na anataga mayai 300 na kutotolesha ndani ya siku tatu. Itazame uwaelimishe wakulima na ndugu zetu vijijini.
Mdudu hatari kwa usalama wa chakula kiwavijeshi vamizi fall armyworm kutoka marekani anakula mazao zaidi ya 80 kwa mijibu wa FAO. Tuwaelimishe wakulima na ndugu zetu vijijini namna ya kumkabili kupitia makala hii
Mdudu hatari kwa usalama wa chakula na kilimo nchini ametoka bara la America. Angalia hiyo makala/Documentary kwenye link hapo juu wataarifu wenzetu kijijini.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.