Recent content by Calmodulin

  1. C

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa mtumishi wa umma

    Ahsante kwa ushauri.
  2. C

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa mtumishi wa umma

    Mimi ni mme wa Binti Sayuni mama wa nyumbani.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa mtumishi wa umma

    Sasa nikufuate wewe?
  4. C

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa mtumishi wa umma

    Baada ya account yangu ku-collapse, nimelazimika kufungua account nyingine. Mimi siyo mgeni jf kama mnavyofikiria. Nimegundua jf ya sasa imeingiza vijana wa hovyo. Mtu anadiriki kusema swali la mwenzie ni la "kijinga" anasahau anawatukana moderators waliolipitisha na kumruhusu hata yeye kuwa...
  5. C

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa mtumishi wa umma

    Kuna watu nimegundua mnajifanya mna weledi na akili sana kupita wengine. Hii imepelekea kufanya kazi ya kukosoa, kukejeli, na kukatisha tamaa wengine. Ikiwa hujui lolote au labda una tatizo la wivu moyoni mwako ni vema ukatulia, natumaini jf ina watu smart watakuja hapa kujibu. Nimeandika lengo...
  6. C

  7. C

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa mtumishi wa umma

    Wakati Kuna watu nimegundua mnajifanya mna weledi na akili sana kupita wengine. Hii imepelekea kufanya kazi ya kukosoa, kukejeli, na kukatisha tamaa wengine. Ikiwa hujui lolote au labda una tatizo la wivu moyoni mwako ni vema ukatulia, natumaini jf ina watu smart watakuja hapa kujibu...
  8. C

    JamiiForums Tanzania Inawezekana kutoka kuwa mtumishi wa umma na kuingia Jeshini (JWTZ)?

    Dah kwa kweli. Sijui anahitaji nini.
  9. C

    JamiiForums Tanzania Uhamisho kwa mtumishi wa umma

    Wakuu, naomba mnisaidie majibu ya maswali yafuatayo: 1. Naweza kuhama kumfuata mwenzi ambaye si mtumishi wala mfanyabiashara, yaani ni mama wa nyumbani? 2. Ikiwa na. 1 hapo juu inawezekana, ni viambata gani vinahitajika ktk mfumo wa ess kukamilisha hili? Natanguliza shukrani.
  10. C

    JamiiForums Tanzania PreGE2025 Lissu: Nimewekwa gerezani upande wa waliohukumiwa kifo kwa kunyongwa

    Uc Uchaguzi wa mama
Back
Top Bottom