Unafikiri hizo amshaamsha za wanamziki zinafanywa bure? Unadhani hao wasanii wote wanaenda kwenye majukwaa ya CCM kwa kupenda pamoja na kuwa wanalipwa ?
Fikiria upya.
Kampeni bado subiri utamsikia tu, hata ilani ya uchaguzi ya chama chake bado hajakabidhiwa rasimi kuifafanua kwa umma. Subiri, akifanya sasa hivi atakuwa anavunja sheria upo?
Kwa taarifa hii, naona kama watoto wa Nyerere hawajatendewa haki katika Taifa hili kwa uzalendo wa baba yao na wao wenyewe kwa Taifa letu. Viongozi wa Sasa sidhani kama wanaweza kupeleka watoto wao, yaani familia nzima vitani Frontline. Walitakiwa kupewa heshima na nafasi kubwa za upendeleo...
Kuna alieshangilia hapo kweli ! Hapo si kaeleza hisia zake tu. Ina maana hayo aliyoeleza yana ukweli hadi umuone kuwa anashangilia.
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.