Recent content by CALLION

  1. C

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Sijasoma mpk mwisho nimeishia pale nikaitwa hotel nkapakiwa na gari ile kufika nafunguliwa mlango kaa bla na bikini asee hapo nimeona ni Chai kabisa Sent from my iPhone using JamiiForums
  2. C

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Tea Tea Tea Tea Tea Tea Tea Tea Tea Tea Tea Tea Nasema ivi hii ni Tea Sent from my iPhone using JamiiForums
  3. C

    Treni yaleta ‘kilio’ usafiri wa mabasi Dar - Moshi

    Yani nimesoma huu uzi asee nimebaki nacheka 16/12/2019 nimetoka dar kuja chuggah pale shekilango Kilimanjaro ametoa gari 10 zinazoenda arusha na Moshi na kwenda dar hivyo hivyo na gari zote zipo level seat na wengine wamepakiwa njiani wakakaa pale pembeni ya derava juu ya engine sasa kusema...
  4. C

    Waziri Kigwangalla unafanya kazi nzuri kutangaza vivutio nchini, ila punguza kuposti picha ulizovaa nguo zisizo na staha

    MAGALLAH R, Ulitaka aogelee na suti au? [emoji41][emoji41][emoji41] wabongo kila kitu wajuaji Sent from my iPhone using JamiiForums
  5. C

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Jifariji nakwambia ipo siku atapata kujua kuna kitu kinaitwa Jf na uzi pendwa kama huu na atapita Sent from my iPhone using JamiiForums
  6. C

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Mkuu tafuta kabisa KY au Babycare mafuta mgando kwa kodi izi tegemea uchoreshwe 7 na kuliwa kisamvu yani akipita apa lazim ajue labda uedit au ufute Sent from my iPhone using JamiiForums
  7. C

    Nauliza tu, Instagram ni jukwaa la kuringisha 'hips' na makalio kwa wadada?

    Awa watoto nawaona pale ushirika ( MoCU) uyo mmoja wanamuita makaya og ni mmeru uyo mwingine anaitwa Nancy anadrive kigari aina ya suziki wacha wale maisha mzee ndo muda wao uko insta Sent from my iPhone using JamiiForums
  8. C

    Ulishawahi kula tunda kimasihara?

    Uyu jamaa ni mnafiki sana aliwai sababisha nkala ban Sasa kama hapendezwi na huu uzi anakuja fata nini kama sip unafiki na umakuzi tu Sent from my iPhone using JamiiForums
  9. C

    Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

    Kweli mkuu Sent from my iPhone using JamiiForums
  10. C

    Shamra shamra za Krismasi 2019 Kilimanjaro

    Mkuu tutakua tulikuja bus moja maana na mimi nlikua na KLM ya saa 12:50 Sent from my iPhone using JamiiForums
  11. C

    Bei ya vyakula vya mahoteli/migahawa ya njiani kwa wasafiri wa mabasi iangaliwe na mamlaka husika

    Juzi naenda zangu Arusha pale Bagamoyo kabla haujafika Wami gari likapaki tuchimbe dawa kwakua ni asubui kiherehere changu si nkasema ngoja ninunue chai na samusa 2 asee na vile nlikua na dogo eti vikombe viwili chai ya maziwa 4000 ikaenda samusa 4 napo elfu 4000 ikaenda ***** sitarudia tena...
  12. C

    Basi laacha njia na kugonga magari saba Moshi, watu 15 wajeruhiwa

    Mzee ile gari ilikua above 70 speed sasa unahisi izo kingo zingefua dafu? Sent from my iPhone using JamiiForums
  13. C

    Basi laacha njia na kugonga magari saba Moshi, watu 15 wajeruhiwa

    Kama angenyooka na mnara mzee ilikua ni vilio mda huu na ata yeye mwenyewe maana pale zilikuepo bajaji na waenda kwa miguu Sent from my iPhone using JamiiForums
  14. C

    Basi laacha njia na kugonga magari saba Moshi, watu 15 wajeruhiwa

    Nina video ya cctv camera asee Dereva ni hodari ingekua anaroho nyepesi angepita na bajaji zote Sent from my iPhone using JamiiForums
  15. C

    Dar Lux, kampuni bora ya mabasi inayoelekea kaburini

    Mkuu unaloongea unauhakika nalo? Kwa kaskazini now ni kilimanjaro ameaminika sana dar express ilikua miaka 7 nyuma uko kampuni imekufa iyo inaendeshwa kilocal sana baada ya kukabidhiwa mwanamke , magari mabovu yana haribika customer care mbaya uwezi sema kampuni imemantain uku inarekodi mbaya...
Back
Top Bottom