Recent content by call me

  1. C

    JamiiForums Tanzania Gerald Hando wa Clouds FM jaribu kuheshimu waliokutangulia kiumri

    East Africa redio wana vipindi bora sana tena entertaining and very educative. Nilikuwaga nawafatilia sana hawa clouds ila mambo yao duu? news asubuhi wanachagua za kusoma utasikia jambo leo, uhuru, mwananchi story itakuwa kwenye page ya tatu au ya nne. niko na kina Ian Dialo wanapiga manews...
  2. C

    JamiiForums Tanzania Gari inauzwa toyota spacio new model (2002)

    weka bei watu wapige
  3. C

    JamiiForums Tanzania Hey niliingia ka mwizi ss najitambulisha

    nimekupata mkubwa asante sana nimeshakaribia
  4. C

    JamiiForums Tanzania The One World Govt/New World Order: Is this thing for real?

    Da same to Kuruan. Yesu aliacha wakristo, na Mtume Mohamad aliacha waisilamu, lazima tujiulize madhehebu madogomadogo kwenye ukristo na uislamu yalikujaje.
  5. C

    JamiiForums Tanzania Hey niliingia ka mwizi ss najitambulisha

    Habari wandugu nimekuwa nikivinjari JF kwa muda mrefu ss, nimeona ni utoto kuendelea kuvinjari jmvini pasipo kujiunga na wanafamilia,leo najitambulisha rasmi kwenu naomba mnipokee kwa mikono miwili na kwa moyo mkunjuuuufffuuu.
Back
Top Bottom