Recent content by Call m3 Anwar

  1. Call m3 Anwar

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Menu hiyo hiyo ya corp utakuta package inaitwa lux (30 days)
  2. Call m3 Anwar

    Kurekebisha Redio ya gari Panasonic Strada

    Yaani hapo mchawi utundu kidogo mixer Google Translate unaset fresh inaonekana nzima kabisa hiyo.. ila ulijichanganya tu na lugha
  3. Call m3 Anwar

    Nimeuchoka ubinafsi wa Waafrika huko youtube, hawaweki link za kudownload wanaweka namba ili wakuuzie vitu walivyopata bure

    Hiyo router ni ya aina gani? Taja model japo umeshaiunlock.. kuna router zipo ndani nimetafuta solution nimekosa kitambo sana isije ikawa zishapata ufumbuzi
  4. Call m3 Anwar

    Kwa Million 15 Kushuka chini, naweza kupata Gari kutoka Japan?

    Bila kusahau mazda verisa, honda freed & freed spike....Na nyengine nyingi brand nje ya toyota.. mchawi spare maana unaweza kuta dar nzima unaimiliki peke yako
  5. Call m3 Anwar

    Kwa budget ya 17m napata gari gani kutoka Japan

    Bila 25M hupati hiyo gari.. yard unapigwa na kitu kizito kwa 28M.. huyu mtoa mada best option avizie Toyota Rumion au noah 2008. hii (noah)kwa bajeti hiyo akeshe Sbt kuvizia (new arrival)
  6. Call m3 Anwar

    Kwa budget ya 17m napata gari gani kutoka Japan

    Vellfire? Picha linaanza ushuru wake 12M hiyo ya 2008
  7. Call m3 Anwar

    Gari tatu (3) za Toyota ambazo Design yake ilikua from Future

    Hiyo ndo fresh hiyoo.. hasa kuanzia toleo la 2010 kuendelea.. Saafii kabisa
  8. Call m3 Anwar

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Fanya research ndogo.. Waambie waloconnect wote wa disconnect kisha upime speed mwenyewe... nahisi mahali ulipo internet sio nzuri sanaa... Airtel ana maeneo yake.. sio kila sehemu anaspidi.. au badili location. kuna mwana anayo nikiwa natumia ipo slow hata kustream youtube haifiki 720p...
  9. Call m3 Anwar

    Gari tatu (3) za Toyota ambazo Design yake ilikua from Future

    dah unaiponda hadi hii? una taste mbaya sana mkuu. Hiyo ukiiwekea kofia hapo nyuma juu kwenye buti ni "too many beasts"
  10. Call m3 Anwar

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Nida yako tu.. Na either umfate wakala alipo au akufate.. hapo kwenye kukufata ndo unaweza kuchangia nauli.. ukishasajiliwa line ujiunge kifurush chochote hapo hapo... Ila kwa sasa line za kupiga na kupokea hawasajili tena... zipo za data only
  11. Call m3 Anwar

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Toka Halotel waje na M2M nimesajili Line mbili.. Moja hiyo haipigi wala kupokea ya data only... Hii haina maajabu sana hata uungaji wake ni mgumu mpaka uwe na line ya halotel nyengine maana haina Halopesa na bando zake zinaanzia 15k kwa mwezi au 5k kwa wiki, 15k gb 18 na hiyo ya 5k gb 4.. Pia...
  12. Call m3 Anwar

    Jifunze kumpa mwanamke wako hela bila sababu, utanishukuru baadaye

    Mleta uzi una undugu na yule msanii aliyeimba Nambie nijue nambie nijue Naona kama nakulazimisha Nawe ushampenda mwingine Nijue nisikusumbue Moyo wa mwangaikaji waugeuza kama chapati.... Sidhani kama nina kosa Moyo wangu wanisumbua Domo langu zito kukwambia ukweli nashindwa
  13. Call m3 Anwar

    Mbona wengi wanapenda kutuma salamu recently?

    Bila picha ya watoa salamu huu uzi haujakamilika....
  14. Call m3 Anwar

    "Baby umependeza" Je umechangia sh ngapi au umenunua kipi? Wanaume mnaboa

    Siwezi kusifia kwa kitu ambacho nimekigharamia.... Yaani nikupendezeshe kisha nikusifie umependeza? kwa pesa yangu?
  15. Call m3 Anwar

    Natamani kumcheki lakini nashindwa kwa kuhofia kuonekana dhaifu kwake

    miezi mitatu? hapo kati kati kuna mwana alipata part time job ila ndo hivyo hakuna na CV nzuri ya kuhonga kukuzidi
Back
Top Bottom