Recent content by Calist Pascal

  1. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkoa wa Iringa hakuna hoteli zenye hadhi ya juu

    Sunset hotel,
  2. C

    JamiiForums Tanzania Kwanini mkoa wa Iringa hakuna hoteli zenye hadhi ya juu

    Ukweli ndio huo lazima tuukubali bado tuna safari ndefu kuwafikia wazungu.
  3. C

    JamiiForums Tanzania Natafuta nafasi ya kufundisha.

    Nina Advanced Diploma ya Accounts nahitaji kuwa mwalimu wa masomo ya biashara kwa chuo au shule yenye kuhitaji mwalimu wa aina hiyo tuwasiliane kupitia 0764954585. Karibu.
  4. C

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kwa nini Yanga mumeamua kututesa mashabiki?

    Yanga imenikera sana lakini kwa sababu sio kabila naweza kuikana wakati wowote.
  5. C

    JamiiForums Tanzania GE2015 Kutoka Iringa: Kampeni CCM uwanja wa Samora

    Nape twambie kama Lowassa alikuwa mwizi ilikuwaje raisi wako akampa uwaziri Mkuu? Asilimia kubwa ya maisha ya EL ameyaishi akiwa CCM kama alikuwa mwizi kwanini hamkumfukuza? Kwanini mliendelea kumpa nafasi za juu zaidi? Nape jaribu kuwa mstaarabu unakiabisha chama.
  6. C

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri Ukumbi wa Hyatt Regency: Frederick Sumaye atangaza nia kugombea Urais

    Ndio maana tunasema JPM amegombea kwenye mfumo mbovu, yeye ni mtu safi lakini chama chake DR. Slaa alikifananisha na choo, yeye kama yeye hawezi kuleta kuleta mabadiliko lazima ataendelea kutenda kwa kufuata mapendekezo ya tume zinazoundwa kimkakati ili kuja na mapendekezo yatakayowanufaisha...
  7. C

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Bado jibu lake halikuwa sahihi alijikanyaga tu, kwakweli Dr. niliyemwona jana siyo yule niliyemzoea.
  8. C

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Nimemsikiliza Dr. Slaa mwamzoni mwa hotuba yake amesema alikataa kumpokea Lowassa kwa sababu hakuja na idadi ya watu aliotaka aje nao, ina maana kama angekuja na hao watu angempokea. Baadae akaanza kueleza maovu ya Lowassa. Swali langu ni je ? Kama lowassa angekuja na hao watu na ukampokea hayo...
  9. C

    JamiiForums Tanzania Biashara ya viazi mviringo

    Mkuu ni PM au nipigie kwnye 0753543236 tufanye hiyo biashara.
  10. C

    JamiiForums Tanzania Tofauti ya mapokezi ya Lowassa Airports akiwa CCM na akiwa CHADEMA

    Ndio unatoka kuamka akili bado imelala kanawe uso kwanza then uje uandike upya huenda utaeleweka.
  11. C

    JamiiForums Tanzania Niuzie gari yako yako kwa M2 Cash

    Naweza kuona picha tafadhari
  12. C

    JamiiForums Tanzania Uza Mercedese Benz 124 kwa 2.5M

    Please kama una MB 124 kwa bei hiyo ni PM au call/sms 0764954585 karibu
  13. C

    JamiiForums Tanzania Niuzie gari yako yako kwa M2 Cash

    Umejuaje kama mimi sio fundi?
  14. C

    JamiiForums Tanzania Niuzie gari yako yako kwa M2 Cash

    Budget yangu ni 2m mkuu wangu.
Back
Top Bottom