Ndgu mtoa post nitakuunga mkono kwani akuna uzalendo wao wangejua uzalendo wasingeweza kusababisha matatizo makubwa bajeti ilikuwa ya 2013/2014 Leo tunazungumzia bajeti ya 2014/2015.
Nakumbuka kabisa nikiwa na akili timamu bajeti ilikuwa billion 390 kwa mwaka wa masomo unaomalizika iweje warun...
Mtoa post tafakari kwanza kwani swala la kufa kuna mtu ambaye ajui kwamba atakufa, elimu uliyonayo bado haijakusaidia,swala ni tunataka pesa na siyo upuuzi unaotoa
Napenda kusema kwamba ili si tatizo bali ni viongozi mizigo na vibaraka wa Tabaka tawala, wa kwanza kabisa ambao wamekuwa manamba wa kwanza ni umoja wa vyuo vikuu, sijawahi ona nchi inaendeshwa kipuuzi kama hii nchi, unawambia watu waende kwenye mafunzo wakati ujawalipa pesa yao, tukikumbuka...
Ndgu zangu habari za asubuhi, napenda kuelewa lini tutaacha kuwabeza awa wanafunzi wa vyuo vikuu hasa wale wanalipiwa na bodi ya mikopo, ni aibu kubwa kwa taaifa kama hili kuona watoto wa maskini wakiangaika huku na kule ili kunusuru maisha yako. serikali ipo wapi kama bodi imeshindwa kuwapatia...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.