Recent content by calchooper

  1. C

    Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Dini ni neno lenye asili ya kiarabu huku likiwa na maana Ya njia. Pamoja na bla bla zako jua kwamba zaidi Ya miaka 2000 iliyopita Yesu Kristo (Neno la MUNGU wa kweli) alivaa mwili akaja na kukaa kwetu. Huyo Ndiye njia (dini) Ya kweli. Dunia imejaribu kuficha Sana maisha, no kifo cha Yesu...
  2. C

    Ukweli Kuhusu Dini (Hasa Uislam na Ukristo)

    Nn maana na asili ya neno dini??????
  3. C

    Watu waliokufa kipindi ambacho hata dini ya ukristo na uislam hazijaanzishwa wako wapi kama tunajiaminisha kwa kusema dini humfanya mtu kuona pepo?

    Cha msingi we fafanua kwa mujibu wa unavyojua. MUNGU Mwenyezi hatetewi Bali hujitetea.
  4. C

    Watu waliokufa kipindi ambacho hata dini ya ukristo na uislam hazijaanzishwa wako wapi kama tunajiaminisha kwa kusema dini humfanya mtu kuona pepo?

    Quran Ni tofauti kabisa na Biblia. Inatofautiana kinadharia, dhana na hats kimapokeo. Manabii, mitume, waalimu (Rabi) na waandishi wa hutofautiana kabisaaa . Unapokuwa kusema njia (dini) Ya uislamu ulikuwepo hata wakati wa Adam ndo unazidi kuchafua hali ya hewa. ila no imani Kama Hindu, Shinto...
  5. C

    Watu waliokufa kipindi ambacho hata dini ya ukristo na uislam hazijaanzishwa wako wapi kama tunajiaminisha kwa kusema dini humfanya mtu kuona pepo?

    Ili kujua asili ya hizi njia (dini) no vyema pia kujua asii Ya wale vichwa /waaminiwa mfano Musa, Yesu na Muhhamad. Mfano Yesu alikuwapo kwa Ya hata huo msingi wa dunia hii kuwako . 17:5 Yoh. Kwahiyo unaweza gundua kitu hapo kuhusu imani sahihi na njia (dini) gani ulikuwepo tangu kuuubwa kwa...
  6. C

    Watu waliokufa kipindi ambacho hata dini ya ukristo na uislam hazijaanzishwa wako wapi kama tunajiaminisha kwa kusema dini humfanya mtu kuona pepo?

    Neno DINI Lina maana ya njia Ili kuondoa mkanganyiko wa kimaana na kimantiki. Ahsante..
  7. C

    Watu waliokufa kipindi ambacho hata dini ya ukristo na uislam hazijaanzishwa wako wapi kama tunajiaminisha kwa kusema dini humfanya mtu kuona pepo?

    Kwanza Imani ya kweli kwa MUNGU wa Kweli Pili Ni matendo mema. Coz matendo mema Hata wana wa mashetani Kila uchwao hutenda hayo. Token Kati yao mkatengwe nao.....
  8. C

    Watu waliokufa kipindi ambacho hata dini ya ukristo na uislam hazijaanzishwa wako wapi kama tunajiaminisha kwa kusema dini humfanya mtu kuona pepo?

    He huamini Biblia?? Lengo asili la MUNGU kuwahukumu jehannamu ni kuhakikisha anaupoteza uovu na yule muovu. Ni kama wewe unavyoshabikia kuyateketeza magugu shambani mwako. So wote ila wale wenye mbegu za uharibifu tu jehannamu itawahusu.
  9. C

    Nyumba za wachungaji vs nyumba za waumini

    Kuwa Na wewe Mchungaji ili tukupe. Nahisi hauko sawa
  10. C

    Nyumba za wachungaji vs nyumba za waumini

    Wewe shida yako iko wapi, Una maana gani kwa bandiko lako Hili??
  11. C

    Marekani imefanya jaribio la kombora lake la masafa ya kati

    Haina haja ya kupaniki, Yeye katolea mfano tu unadhani kama hamas wangekuwa na nyuklia wasingetumia kuwapiga ISRAEL??? Hata hivyo huo Ni mtazamo wake.
  12. C

    Mikoa Kumi(10) iliyotoa wasomi wengi zaidi nchini

    Wamakhua mbona umewaacha??
  13. C

    Greenland:Trump warned that Island cannot be bought from Denmark

    Si Green land tu, marekani kainunua Hata Alaska
  14. C

    Two more F-35 fighter jets land in Israel, bringing IAF’s declared total to 16

    Tom cat, f35, f22,typhone, na Raphael ndege bora kabisa kuwai kutokea
Back
Top Bottom