Karibuni ndugu zangu kwenye huduma za bei nafuu kabisa za Mapambo,Chakula, Keki za sherehe za aina zote, MC na Mziki. Kama una harusi, send-off, kitchen party, kipaimara, ubarikio, maafari ya aina zote, na sherehe zingine zote hadi misiba. Hakuna kushindwana kwenye bei kwani kila mteja...