Nyumba nzuri sana inauzwa Dar

Nyumba nzuri sana inauzwa Dar

Asante, maongezi yapo, Karibu.
MKUU, HIYO BEI NI KUBWA ILA INGEKUWA ENZI ZA JK UNGEUZA ILA KWA 300

KUMBUKA, HAPA DSM THAMANI YA NYUMBA NI UWANJA ULIPO NA SIYO MATERIAL YA NYUMBA

UKISHNDWA FANYA KAMA ALIVYOELEKEZA MDAU HAPO JUU, CHUKULIA MKOPO BENKI
 
Tatizo sasa hv watu wengi wameshajaribu na kujua ujenzi ukoje,kumpata mtu wa kutoa m400 huku akipiga hesabu ya muonekano wa jengo ni kama la m50 kazi ipo

JAH RASTAFARI MORNING AFRICA
 
Achana na Imani hizo ndugu yangu. Imani yangu hainiruhusu kabisa kufanya hivyo.
Sijasema ni wewe mkuu, wala sina hizo imani ndio maana nilishangaa mtu anamfukia mbuzi ndio msingi upande
 
Kazi ipo...ukisoma comments....mmmh. Ni kweli pesa imepotea au?
 
Naona ipo barabarani! Vipi mkuu haitapigwa greda kweli?
 
Haina mazindiko bana.Mimi mwenyewe ndo naishi hapa hapa. Naiuza ili nipate mtaji nifanye biashara maisha yanazidi kuwa magumu na asset niliyobaki nayo ndo hii nyumba[/QUOTE NI KWELI KIMFAACHO MTU CHAKE LAKINI PIA KUSIKILIZA USHAURI WA WENGINE NI MUHIMU,Ndugu Yangu, Mimi Binafsi SIUNGI MKONO UUZE NYUMBA UKAANZISHE BIASHARA, Biashara nyingi zinafungwa we unataka ufanye Biashara!!!? KAMA UNAHITAJI MTAJI MI NAKUSHAURI, Nyumba yako hiyo mpangishe MTU moja kwa mwezi anaweza kukulipa laki sita, kodi ya miezi sita tayari unamtaji wa Biashara, Wewe nenda kapange chumba na sebure. SIUNGI MKONO KUIUZA WALA KUICHUKULIA MKOPO BENKI, PANGISHA MTU MMOJA AKULIPE KODI YA MIEZI KADHAA UTAKUWA UMEPATA MTAJI WA BIASHARA. Ila kimfaacho MTU chake. Maamuzi ni yako.
 
Haina mazindiko bana.Mimi mwenyewe ndo naishi hapa hapa. Naiuza ili nipate mtaji nifanye biashara maisha yanazidi kuwa magumu na asset niliyobaki nayo ndo hii nyumba

Sasa si uende bank kuna nyumba ya million 400 apo,.. Sehemu yenyew ilala, madalali bana,
 
Milioni 400 si Nyumba Kama 10 hivi za Three Bed Room za NHC, then nakaa nazipangisha Kwa awapangaji kwa Laki 2 kwa Mwezi ...

Sent From INFINIX NOTE 3 PRO
Bado milioni 100 tu ili kujenga ghorofa kama za udsm
 
Huku hakuna uswahili ndugu yangu njoo ujionee mwenyewe.
Mie naijua sana buyuni kote mpaka unaingia chanika.Ndo nakuambia hiyo bei sio ya huko huwez kupata mteja
 
HII NYUMBA YAKO NI NZURI SANA.ILA ULIFANYA GOOD INVESTMENT KWENYE WRONG PLACE(BUYUNI) BADALA YA MIKOCHENI AU MBEZI BEACH NA AU HATA ANGALAO TEGETA.HUKO BUYUNI MZUNGU HAWEZI NUNUA NYUMBA HUKO."UNAJUA,THAMANI YA NYUMBA NI MAHALI KIWANJA KILIPO".LAKINI GHARA ZA UJENZI NI ZILEZILE.UNAONA SASA,HIYO BEI YA NYUMBA YAKO NI BEI TU KIWANJA KITUPU HUKU MBEZI BEACH AU MIKOCHENI.POLE SANA MKUU.HII NYUMBA YAKO NA HIYO BEI,NI SAWA NA KUJENGA GOROFA KIJIJINI HALAFU USEME KWA SASA UNAIUZA(UTAMUUZIA NANI SASA).ILA GHARAMA ZA UJENZI WA GOROFA LA MJINI NA KIJIJINI NI SAWA."POLE SAANA MKUU".

Sent using Jamii Forums mobile app
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom