Hata me nimejiuliza...nikasema labda hapo ndio chanzo cha Mtera nini.Hapa kidogo sijaelewa "umeme upo ni four phase" umeme huu ndio upi?
Buyuni napajua ni mbali na mji na kuna uswahili mwingi sana.Hiyo bei hamna mtu ananunua. Labda ingekua mbezi beachNauza nyumba yangu nzuri sana ipo buyuni/Italiani barabara ya pugu kwenda chanika. Mitaa imepangika na kiwanja kimepimwa.Nyumba no: ni Block 1 plot no 7 mtaa wa Kigezi Buyuni Wilaya ya Ilala.
Nyumba ni kubwa na ni 2 kwenye kiwanja kimoja. Nyumba kubwa ina vyumba vinne vya kulala kimoja master kina AC na Jakuzi(very comfortable) na kila chumba cha kulala kina kabati la nguo kama inavyoonekana kwenye picha.Sebule ni kubwa na kuna AC. nyumba yote ina gypsum kama unavyoona kwenye picha na tiles ya kioo. Ina jiko zuri, dinning, stoo na choo na bafu public. Nyumba ya pili ndogo ina chumba master, sebule na jiko, kuna choo cha nje na banda la kufugia kuku.Ukubwa wa eneo lote ni nusu heka. Ina kisima cha maji na tank lake, umeme upo ni four phase, unaamua tu kutumia kadiri upendavyo.
Bei ni Tshs 400,000,000/- Milioni mia nne.Maongezi yapo. Tuma PM kwa serious buyer au nipigie 0655441943/0620496151
Naomba atakaye kuwa interested kununua Whatsapp hapa naona hazifiti zote please.
AseeDah hiyo bei mzeee. Tumsubiri mkubwa fela
Hivi vitu sijawahi kuviwaza. Na ukivyendekeza uanajikuta unakua mtumwa na mwoga kwa kila kitu. Bora uogope kutapeliwa kuliko mazindikotatizo la kununua nyumba aliyokuwa anaishi mtu, ni mazindiko, haujui alizindikaje, unaingia ndani yaanze kukusumbua. kuwa open kwenye kila kitu mkuu. maeneo yenyewe ni ilala, haujaletaga mashehe hapo wasome dua kweli?
Kwani uongo? Mimi kuna nyumba nimeshuhidia jamaa anamfukia mbuzi ndio msingi ukapanda.. NilichokaHii ndio Tanzania, mtu anaamua tu makusudi kuharibu tangazo la mtu mwingine!
[emoji38]Hata me nimejiuliza...nikasema labda hapo ndio chanzo cha Mtera nini.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hata me nimejiuliza...nikasema labda hapo ndio chanzo cha Mtera nini.
Mhhhh!!! matajiri wenyewe wanalialia sana!!!Haya matajiri wa JF nyumba hiyo...
[emoji1] [emoji1]Hata me nimejiuliza...nikasema labda hapo ndio chanzo cha Mtera nini.
Mazungumzo yapo jamani karibuni kuiona nyumba hautajutia kutoa hela yako.Kwa uchumi Wa sasa Milioni 400 no balaa. Unaweza ukauza chini ya hapo ukafanikwa . hiyo nyumba ukiijenga itagharimu 250,000,000/_ Labda thamani ya kiwanja iongozee thamani. Lakini tatizo kubwa no mzunguko Wa hela umebana LA sivyo ungepata. Wale ambao zinawatembelea kama zamani watasema nilie peke yangu . Lakini si wengi, bado wanaogelea kama zamani.
Sent using Jamii Forums mobile app
Achana na Imani hizo ndugu yangu. Imani yangu hainiruhusu kabisa kufanya hivyo.Kwani uongo? Mimi kuna nyumba nimeshuhidia jamaa anamfukia mbuzi ndio msingi ukapanda.. Nilichoka
Huku hakuna uswahili ndugu yangu njoo ujionee mwenyewe.Buyuni napajua ni mbali na mji na kuna uswahili mwingi sana.Hiyo bei hamna mtu ananunua. Labda ingekua mbezi beach