Recent content by CAG Mtiifu

  1. C

    Ibara ya 100 ya Katiba ya JMT imewapa wabunge Uhuru wa kujadili Hoja na Mijadala mbalimbali bila kuingiliwa na Mhimili wala Mtu yeyote. Tusiwaingilie

    Hawajaingiliwa,wamekumbushwa na wameshauriwa. Kumbuka Hayati Magufuli alisha tuambia hata kama Luna mihimili lakini tujue kwamba upo mhimili mmoja ambao umejichimbia zaidi na ndio unaowezesha mingine
  2. C

    Waziri Ummy Mwalimu, changamoto zinazohitaji kutatuliwa bado ni nyingi TAMISEMI

    Wanasema wajuzi, "Charity begins at home" Mh. Ummy Mwalimu umebebeshwa majukumu mazito kuliko uliyokua nayo awali. Hongera sana Changamoto ni nyingi hata mtangulizi wako anajua. Umeanza vyema kwa kupaza sauti dhidi ya wabadhirifu walio ibuliwa na CAG. Nimeona eti kuna mke wa kigogo mmoja...
  3. C

    Vijana tunadharaulika sana, tufanye nini ili kujikwamua na madharau hayo ya viongozi wetu?

    Hata hivyo mama amelikumbusha bunge kuangalia maslahi mapana ya taifa na sio kujadili masuala yasiyogusa maisha ya wananchi. Hongera sana mama Mungu aliyekupandisha daraja,azidi kukupa ubora kwenye nafasi yako
  4. C

    Vijana tunadharaulika sana, tufanye nini ili kujikwamua na madharau hayo ya viongozi wetu?

    Nimetafakari sana kauli yake. Zaidi eti Jenista nae amemuita balozi wa lishe. Wakapeane balozi zao hukoooo lakini sio kwenye bunge
  5. C

    Vijana tunadharaulika sana, tufanye nini ili kujikwamua na madharau hayo ya viongozi wetu?

    Ninawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Hivi juzi mh.Spika Job Ndugai amesema vijana hawaaminiki tena kwani ni wezi. Sijaelewa kama ametumia njia gani kubaini wizi huo wa vijana. Atakua anayo matukio yaliyomsukuma akasema maneno hayo. Mimi nitakua tofauti kidogo na kiranja...
Back
Top Bottom