Natanguliza kwanza shukran za dhati kwako kiongozi ...dhumni la kufikilia na kuomba msaada wa jambo hili ni kitu kimoja...nimesomeaa computer science ila ninapofanya kaz sio feild yangu kabisa so i was worried kwamba siku itatokea na nikaondolewa! So i wantd to start my own workshop kudeal na IT..
Shukran kaka...ila jamb lililonifanyaa kufiliaa hichi ni sehem ambyo nafanya kaz now days siko na amani...then chengine its not my field yaan kitu nilchosomea sio ninachofanyia kazi...so i thought like any time naweza nikaondolewa na nikawa sina mbele wala nyuma....
Habari zenu viongozi..
Natumai ni wazima wa afya !
Naomba kufaham mambo ya kuzingatia kabla ya kuacha kazi na kujiajir mwenyew ili nipate uvumbuzi kutoka kwenu
Nawasilisha naomba msaada wenu[emoji847]
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.