Recent content by cadnopoints

  1. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Kwanini watu wenye roho nzuri huwa hawatajiriki?

    Jana nikiwa natoka mishe zangu nkakutana na mdada mmoja anamtoto, miguu ina vumbi balaa akaniomba mia nne apande daladala nlikuwa nmebakiwa na mia tatu ya kununua dawa ya mbu na maji ya kuoga leo asubuhi, nikampa, usiku nikapigwa mbu asubuhi nikampiga sound muuza maji nikaoga na kwenda mishe...
  2. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Uandishi/uhariri

    sawa
  3. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Uandishi/uhariri

    leta kazi kisha utafanya assessment
  4. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Natafuta kazi ya Uandishi/uhariri

    Habari wakuu..! Natafuta kazi ya uandishi/uhariri wa kazi mbalimbali za maandishi kwa lugha ya Kiswahili na kiingereza kama vile makala, hotuba n.k Kwa yeyote mwenye mchongo tafadhali tuwasiliane. -Nina utaalam na masuala ya computer (Word, PowerPoint, SPSS na Excel including VBA n.k) -Ni...
  5. cadnopoints

  6. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam niliyoiona sio niliyokuwa nikiifikiria

    hahahahha
  7. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam niliyoiona sio niliyokuwa nikiifikiria

    Uko maeneo gani mkuu
  8. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam niliyoiona sio niliyokuwa nikiifikiria

    Unataka kusemaje
  9. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam niliyoiona sio niliyokuwa nikiifikiria

    Shukran sana mkuu, nipo napambana kupata cha kufanya haraka iwezekanavyo
  10. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam niliyoiona sio niliyokuwa nikiifikiria

    hahaha kutoka bush sio dhambi mkuu, japo huyo jamaa nimewahi kumskia akitajwa kwnye nyimbo za dance miaka hyo
  11. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam niliyoiona sio niliyokuwa nikiifikiria

    Shukrani mkuu, japo mm sio muumini wa kutoka sana usiku
  12. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam niliyoiona sio niliyokuwa nikiifikiria

    Dah! hakika umakini unatakiwa
  13. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam niliyoiona sio niliyokuwa nikiifikiria

    Umemjibu vyema mkuu, japo alichangia bila kuelewa vizuri
  14. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam niliyoiona sio niliyokuwa nikiifikiria

    hahaha dah, nawish nifike buza pia nikaone kunafananaje
  15. cadnopoints

    JamiiForums Tanzania Dar es Salaam niliyoiona sio niliyokuwa nikiifikiria

    Shukran, Nitafika siku moja mkuu
Back
Top Bottom