Recent content by C-C Digital Pro

  1. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Gazeti jipya "CELEBRITY" laipindua jarida la "FOX" Marekani.

    Gazeti hili huandaliwa na C-C Digital Pro na kuhaririwa na Civilian-Coin. Hutoka Kila baada ya siku Moja.
  2. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Mipango ya siri ya Walokole na WAKRISTO kumuua Civilian-Coin kisa hamwamini Yesu Kama Mungu wao imevuja.

    🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿🇹🇿
  3. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Mipango ya siri ya Walokole na WAKRISTO kumuua Civilian-Coin kisa hamwamini Yesu Kama Mungu wao imevuja.

    Taarifa ambazo zimetufikia mchana huu ni kuwa makundi makundi ya Walokole yamesukwa kufanya mauaji kwa Siri au hadharani ya kumuua Bw. Civilian-Coin Nalimi Kisandu almaarufu CIVILIAN-COIN taarifa nyeti tumezipata. Aidha wamejipanga kuua au kumbambika kesi yoyote ile Bw. Civilian-Coin. Hata...
  4. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Nje ya Sanaa ya muziki, Civilian-Coin pia ni fundi ujenzi.

    Hili jukwaa kupata wachangiaji huwa ngumu Sana, kuashirishiria hii taaluma ya ujenzi ni ngumu sana
  5. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Nje ya Sanaa ya muziki, Civilian-Coin pia ni fundi ujenzi.

    Msanii wa muziki kutoka Tanzania anaye ghani mashairi yake kwa lugha ya kiingereza pia ni fundi ujenzi wa majengo na mbunifu wa kutengeneza vifaa mbalimbali vya ujenzi, hujishughulisha na shughuli za ujenzi ambazo humusaidia kukamilisha mipango yake ya Sanaa ya muziki na maswala ya kiuandishi wa...
  6. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin: Kuna Rais atajiudhuru Urais hapa Afrika Mashariki.

    Si maneno yangu Bali ni Civilian-Coin Nalimi Kisandu (CIVILIAN-COIN). NANI KUJIUDHURU Urais? Kuna nchi Fulani Afrika Mashariki, Rais atajiudhuru kwa ujinga wake wa kumuona Civilian-Coin hafai Kila eneo. Tega sikio na macho.
  7. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin azindua mavazi rasmi yaitwayo "African map wear" au " Home boy gear"

    Nilikuwa sitaki ku comment Ila imenibidi nicheke tu
  8. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Civilian-Coin azindua mavazi rasmi yaitwayo "African map wear" au " Home boy gear"

    Civilian-Coin Msanii wa Hip Hop/RnB kutoka African-Tanzania amezindua mavazi ya aina yake yaitwayo "African map wear" au "Home boy gear" ambayo yametokana na wimbo wake uitwao "Home boy" alioutoa mwezi Jana na ndio umebeba jina la Albam. T-Shirt na blausi zote zimefanywa na C-C Digital Pro.
  9. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Wimbo maalum kwa Taifa la Tanzania. Nakala TBC, Uhuru fm, Azam TV na ITV na Channel ten

    https://youtu.be/oE6XHuIYiDw?si=z9HOvhkevw48eGvq
  10. C-C Digital Pro

    JamiiForums Tanzania Uhusiano wa C-C Digital Pro na Asubuhi News ni Mali ya mtu mmoja

    Kama picha zinavyojiekeza.
Back
Top Bottom