Recent content by Byakuzana

  1. B

    JamiiForums Tanzania Msaada tutani: Mwenye mkataba wa biashara ya Bodaboda

    Kwema viongozi? na mimi nikiupata huo mkataba nitashukuru.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Sukari, mchele ni kama dhahabu nchini Burundi. Tuchangamkie fursa

    Hii pia haimaanishi uwezo wao kununua hizi bidhaa ipo chini?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Ali Express wanatumia local delivery company gani Tanzania ukitoa Posta?

    store yao iko pande za mikocheni
  4. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye uzoefu na vifaa vya saluni ya kiume

    Malipo kwa kijana unaweza kubaliana kwa namna mbili, awe anakupa hela kwa siku au week (mfano 35K kila week). Mnaweza pia kubaliana wewe ndio uwe unampa mshahara kwa mwezi (labda 200k), hii ni ngumu maana utahitaji kuwepo au kuwa na msimamizi golini. Pia ili kummotivate kijana unaweza mpa ata...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye uzoefu na vifaa vya saluni ya kiume

    Pia kuna gharama zitakazoongezeka kama rangi na vitu vingine vya hapa na pale! pia nilisahau gharama ya feni(kwa dar es salaam ni muhimu sana)
  6. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye uzoefu na vifaa vya saluni ya kiume

    Sawa! Apo utahitaji viti viwili Tzs 320,000 Utahitaji kodi ya frame (gharama inategemea na upo wapi) Frame kama haina mlango wa vioo na unauhitaji andaa Tzs 550,000 pamoja na stickers zake Tzs 35,000. Utahitaji vioo viwili(at least kwa kuanzia cha mbele na nyuma) Tzs 200,000 Kitu cha kukalia...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mnaonunua Alibaba na Aliexpress; Je, washaanza kutuma bidhaa baada ya corona?

    Adress yako ya posta ulipoandika!
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mnaonunua Alibaba na Aliexpress; Je, washaanza kutuma bidhaa baada ya corona?

    Mbona mimi nimepata mizigo yao zaidi ya mara kumi
  9. B

    JamiiForums Tanzania Naomba mwenye uzoefu na vifaa vya saluni ya kiume

    Unataka saloon ya aina gani? ya kisela tu au barbershop kabisa?
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nimerudishiwa pesa na Ali Express halafu siku chache mbele mzigo umefika

    Hakuna namna ya kumcontact seller directly.. mfano kupitia message huko huko aliexpress au email yake? Ili umtumie kwa namna nyengine kama paypal. Mimi nilifanya hivo kupitia ebay
  11. B

    JamiiForums Tanzania Nyumba za wageni za mama Devosheni~ Soweto Moshi ni madanguro

    Hahahaha.. hii thread imenikumbusha mbalii sana! Mwaka 2018 tulienda uko kwa kikazi, tulitakiwa kukaa mwezi mzima. Sasa kufika tukapelekwa huko Dar street na dereva tax alietupokea, sisi watatu tukafikia lodge moja pale ya 25k ila kuna mwamba alileta ubahili akaenda moja ya izo guest ilikua mtaa...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Bado nahitaji majibu kuhusu Ulinzi Shirikishi, Wanasheria nawaomba tafadhali

    Wanalipwa hao vijana wanaokulinda ukiwa unakoroma usiku, pamoja na vifaa vyao vidogo dogo watumiavyo kazini.
  13. B

    JamiiForums Tanzania Kwa anaeelewa kuhusu biashara ya kuuza movies/series atusaidie

    Hongera zako kwa akili nyingi!!
  14. B

    JamiiForums Tanzania Kwa anaeelewa kuhusu biashara ya kuuza movies/series atusaidie

    Habari wakuu, Kuna ongezeko kubwa la wauza movies mjini, kwa wingi zaidi maeneo ya Sinza na Kinondoni. Hii ni biashara ambayo inaonekana inakua kwa kasi. Wanachokifanya ni kudownload movies za kawaida pamoja na series ambako mtu anaweza kwenda na flash/harddisk yake kwenye offices zao...
Back
Top Bottom