Recent content by by the grace of God

  1. B

    JamiiForums Tanzania Polepole: Mungu akituvusha, turekebishe viongozi wastaafu washtakiwe

    Kwa uweza wa Mungu hilo litatimia ila je kwa hawa majaji na mahakimu tutatoboa kweli na kumweka jela Saa100 na Wahuni wengine?
  2. B

    JamiiForums Tanzania Hatimae Polepole ajibiwa na wana Arusha, kula chuma hichoo

    Siri ya moyo ni kichaka,hao unawaona leo wamebeba mabango kwa buku mbili kumbe unaweza kuta moyoni wanatembea na No reform no Election. Muhimu:Turekebishe mifumo ya Uchaguzi ili wote tushiriki na Taifa libaki salama na upendo ukatamalaki kati yetu.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Kulikoni EACkwa CHAN?

    Polen Uganda huo ndio mpira. Sasa Fainali ni kati ya Algeria na Morocco, Bingwa ni 🇲🇦.
  4. B

    JamiiForums Tanzania CCM haijawahi kuwa njema tangu kuundwa kwake. Mwenyekiti Samia simama imara ulipo ulinzi upo

    Naheshimu mawazo yako ila Sikubaliani na wewe ndugu unapoingiza issue za dini au kabila pale mtu anapokosolewa.Muhimu ni kutafakari na kuijibu hoja kwa hoja kwa sababu hatuna Malaika hapa duniani tunayeishi nae.
Back
Top Bottom