Mimi sio mwanachama wa chama chochote cha Siasaa ni Raia wa kawaida wa Tanzania!nilichokisema ni kuwa sijaona hao vijana ulosema wakiwa airport kumpokea dr na wakaondolewa na Polisi,wala sijakaa kuwa dr Slaa hakuja na hy ndege maana hata mgeni wangu pia kaja na hy hy ndege!La msingi watanzania...
Mtoa taarifa acha kudanganya watu!mimi nilikuwa air port na nimesalimiana na Dr Slaa na watu wengine wakati wanachukua mizigo akiwepo Mkurugenzi wa Bugando!hao vijana wa CDM sikuwaona hapo na huo utepe!GT ebu tuwe basi na ukweli ili jukwaa hili liwe na hadhi stahiki!
Ni ukweli usiopingika askari wengi rohoni ni CDM nadhani wanafanya kwa amri,maana wanatambua mchango wa CDM toka wameshika kambi rasmi ya upinzani ndio wamekuwa watetezi wao wakubwa hasa upande wa Maslahi,leo Polisi anategemea kupata posho 225000 toka laki moja 2011.
Kama polisi hawakutaka waingie hapo uwanjani kwanini wasubiri hadi viongozi waanze kuhutubia ndio wapige hayo mabomu!maana walikuwa na uwezo wa kuwazuia hata hapo uwanjani wasifike!CCM msilazimishe Arusha sio yenu!hy ni janja hata 30 pia hakutakuwa na uchaguzi hadi 2015
wilaya(manispaa) utapata utaratibu wote sio kazi ngumu sana Sky kama Afisa ustawi anajua wajibu wake!maana watoto no wengi kwenye vituo na hakuna huduma so wenye moyo kama wako mkiwasaidia ni vizuri na Mungu atazidi kukubariki sana؛
Utaratibu wa kuasili mtoto lazima uanzie ustawi wa jamii,anaehitaji mtoto anahojiwa na kujua anahitaji mtoto wa umri gani na jinsia,baada ya kumaliza taratibu zote mtoto anaweza kupewa kutoka kituo chochote hapa nchini kwa kuzingatia watoto ambao hawana ndugu!Sky vile unahitaji kuasili...
ni wazo zuri sana kama umeamua kwa dhati ingawa ndg nao wakati mwingine huwa kikwako!nakushauri muone Afisa ustawi wa eneo unaloishi na umueleze lengo lako pia ni vizuri ukachukua mtoto chini ya 3yrs waliofiwa na wazazi au walotupwa ambao wanapatikana sehemu maalumu kuliko walioko mtaani...
ingekuwa busara sana kama tungekuwa na viongozi Wazalendo na wawajibikaji haya yote yasingetokea.Kutoa pole haitasaidia kitu wakati tuunasubiri majanga mengine kama haya kutoka muda wowote,kwa nn wasizuie(inafika mahala naamini kauli niliyowahi kuisikia kuwa Mkulu ni dhaifu).
ingekuwa busara sana kama tungekuwa na viongozi Wazalendo na wawajibikaji haya yote yasingetokea.Kutoa pole haitasaidia kitu wakati tuunasubiri majanga mengine kama haya kutoka muda wowote,kwa nn wasizuie(inafika mahala naamini kauli niliyowahi kuisikia kuwa Mkulu ni dhaifu).
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.