umenena mkuu haiwezekani upotevu mkubwa hivyo wasiwajibike
Natumia ndio majipu Rais wetu anasubiri kuyafanyia upasuaji theatre kwani kutumbua kwa mkono hayafai
The report pointed out that former acting TPA Director General, Madeni Kipande, through his letter with reference no. DG/3/3/06 dated 05th February, 2013, formed a committee to supervise TICTS, ICDs and CFSs which were blamed for the loss while completely sidelining Dar es Salaam port manager...
Unapochafua wenzako ili hali wewe sio msafi lazima utaumbuka. Ona sasa kilichojiri! Ushauri tu kwa Mzee wa Monduli mwezi Dec 2015 utakapokuwa magogoni anza na hili ikifuatia ufisadi unaosemekana kufanyika bandarini.
Mkuu, usisahau kuwa sauti ya wengi ni sauti ya mungu. Haiwezekani wote hao wanashangilia bila sababu. Uliza wadau wa bandari wakupe ufisadi wa Kipande utafuta kauli yako unless wewe ni Kipande mwenyewe au mfaidika wa uwepo wa huyu ndugu. Hafai kabisa ameua taswira ya bandari kwa u strict wake...
Pigo la pili kwa mwakyembe alitegemea albaki hapa kwa Kipande kutokana na kumlinda muda wote huu aliokuwa akifanya udhalimu. sauti ya wengi ni sauti ya mungu. Umejidhalilisha sana mkuu na hakika mtalipa kwa uonevu wote mliofanya
Pigo la pili kwa mwakyembe alitegemea albaki hapa kwa Kipande kutokana na kumlinda muda wote huu aliokuwa akifanya udhalimu. sauti ya wengi na sauti ya mungu. Umejidhalilisha sana mkuu na hakika mtalipa kwa uonevu wote mliofanya
Tina aliandika madudu lukuki ya huyu zimwi wmataahira wa jf wakamtukana. Kipande ulijisahau ukadhani bandari mali yako. Subiri mziki wako. Ulisahau kuwa "Yaliyomkuta kibeku na ungo yatamkuta"
Kupiga kazi vile (kwenye media) mpaka kuwaaminisha watanzania halafu mkuu anakuweka benchi mwaka wa uchaguzi aisee unaweza kuwa kichaa jamani!! Kumbe
Utabiri wa shehe Yahya junior kuwa kuna waziri wa jk atakuwa kichaa mwaka huu una weza kuwa kweli!! Mbona ngafu nkamugwangu!
Porojo tu subirini repoti ya wakaguzi itabainisha mapato na matumizi ya bandari. Huyu jamaa ni mwongo hatari Muhongo ana nafuu. Sio muda mrefu ukweli wa aliyosema bandarini utajulikana. Nampongeza jk kwa hili!
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.