Mimi kyusa nimezaa na mchaga ila tunaelewana sana. Mpaka kuna muda ananimiss, hayupo kwenye mahisiano na mtoto yuko darasa la tano.kukiwa na shida juu ya mtoto napiga simu naongea na mwanangu afu ndo natuma hela huku dogo anajua kwamba BABA ANANITUMIA HELA YA KIATU AU YA BEGI LA SHULE AU YA KULA.
Mimi nilikimbia kutoka viwege kwa muda mrefu sana. Nilipofika sehemu niliyokuta watu nilimuona dada mmoja anakaanga samaki nikamuuliza dada hapa ni wapi? Akanijibu hapa ni kilwa masoko nikazimia.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Nisamehe dada mbantu,naingilia mada yako. Natamani nipate mke kupitia hii thead yako. Mimi ni mume mtarajiwa wa mke ntakaempata hapa. Naishi na VVU mwaka wa 11 sasa. Naumia moyo nnavotoka na wanawake ambao wako salama japo natumia condom. Natamani nipate mwenzangu ili tuishi wote kwa matumaini...
Nahitaji mke mwenye vvu kama mimi ili tuishi kwa upendo na kuthaminiana. Mimi ni mwanaume wa umri wa miaka 38 nahitaji mke wa aina yoyote ili mradi awe na ni mwathirika mwenzangu. Naishi maisha ya kawaida na nnawapenzi ambao ni negative natumia condom ila natamani nipate mwenzangu ili tuishi kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.