Kuna vitu vya kitoto vinatokea kwenye hii hospital na serikali isipoingilia kati inaenda kufa.
Haiwezekani hospitali haina backup ya umeme, hospital kubwa kama dar group umeme wa tanesco ukikatika huduma zinasimama kisa generator ni bovu. DG hana muda na kutengeneza generetor ila ana pesa za...
Hapa kuna agenda iliyojificha kati ya uongozi uliopo na hao wanaotajwa kua wako ofisi ya RAS kwa sababu ni kama vile uongozi wa RAS unatoa majibu mepesi kwenye swala zito kama hili na kuahidi kuja kuongea na watumishi wa hospital ya dar group lakin hawatokei,lakini cha kushangaza pia viongozi...
Tunaomba waziri wa Afya muh Dr Dorothy Gwajima aunde bodi kwa ajiri ya uendeshaji wa hospitali hii na watumishi wapewe mikataba ya muda mrefu itakayo wanufaisha na kuwapa utulivu wa moyo. Haiwezekani mtaaluma umfanyishe kazi kama kibarua kwa mkataba wa miezi mitatu.
Pia serikali kupitia vyombo...
Tunarudi tena jukwaani wana JF kutoa shukrani za dhati kwa Mheshimiwa Rais Magufuli kwa kutupatia kiongozi bora wana Temeke; Ndg. Godwin Gondwe ambaye siku ya jana(tar 24/12/2020) alifanya ziara katika hospitali ya Dar Group akiambatana na mganga mkuu wa wilaya, DAS, OCD, mwenyekiti wa Serikali...
MUNGU si mwanadamu. hakuna ovu lisilo na Mwisho. tunamshukuru Mungu kwa ajiri ya serikali yetu sikivu na kumtuma mkuu wa wilaya aliyejaa hekima Mh Godwin Gondwe, hakika huyu mtu roho wa Mungu yu ndani yake. God is good...haki imetendeka na itaendelea kutendeka.
wanjiru...tekeleza majukumu ya taifa na familia yako...!! tunza familia yako...heshimu jamii ..heshimu mali za umma na haki za wengine and finally be humble. uwe na sku njema.
soon utapata huduma nzuri zaidi ya hizo bwana wanjiru pale wapigaji wote watakapokomeshwa na bodi imara itakapoundwa chini ya usimamizi wa serikali. kamwambie maneno haya na bossi wako aliyekutuma umtetee.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.