Recent content by Bwashee Machui

  1. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Kila jambo na wakati wake si ndio eee

    Mvua zinaelekea ukingoni katika maeneo mengi, ni wakati sasa wa kuanza kuyapangilia yale Mamilioni sehemu ya kuyamwaga na kusubiri yakwende nshwaaa kama alivyotaka kufichua ndugu B Levo Ba 🏃🏃🏃🏃 Na Makorongo bila mvua vyombo vya moto vinachoka zaidi
  2. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira ni janga katika ongezeko la mafundi wasiokuwa na ujuzi timilifu

    ni kweli kabisa ila tunapaswa kujifunza ili kuzidisha ujuzi
  3. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Ukosefu wa ajira ni janga katika ongezeko la mafundi wasiokuwa na ujuzi timilifu

    Kwa hili ntapata kuzungumzia katika nafasi yangu ya fundi ujenzi (UASHI).... Aisee mafundi wengi miyeyusho sana twende kwenye komenti...
  4. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Je unahitaji Mafundi ujenzi wenye viwango na spidi ya kazi

    Kwa sasa bado hatujasimama kwa Asilimia mia Insha-Allah
  5. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha ina mpangilio wa ovyo katika usafiri wa umma

    Makonda mwenyewe yu kwani sasa...??
  6. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha ina mpangilio wa ovyo katika usafiri wa umma

    Hilo kuwepo ni ngumu kutokana na dala dala kutokuwa na ruti maalumu Unakuta jioni dala dala zinakimbilia upande mmoja yaani zinapokezana na bajaji😂😂😂shida tupu sehemu ya nauli 600 utafika kwa 1500
  7. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha ina mpangilio wa ovyo katika usafiri wa umma

    Hilo sio tatizo hata mwanza mbona ipo hivyo... Muhimu ni kuwa na ustaarabu kama ilivyo huko Daslamu
  8. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha ina mpangilio wa ovyo katika usafiri wa umma

    Ndio bila shaka dalili za ujenzi moja wapo ni eneo kuzungushiwa Uzio na jambo hilo limefanyika katika eneo husika Bondeni city Terati
  9. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania KERO Arusha ina mpangilio wa ovyo katika usafiri wa umma

    HAKUNA JIJI LENYE MPANGILIO WA HOVYO KATIKA USAFIRI KAMA ARUSHA.. Kiukweli inashangaza sana kuona jiji kama Arusha linazidiwa na Mikoa ambayo haina hadhi kama ilivyo Arusha kuwa na mpangilio unaoeleweka katika suala zima la Usafirishaji wa Raia. Magari mengi yanaenda shakalabaghala...
  10. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Fundi ujenzi

    🪖🦺🔨⛏️🪖🦺 SHEBWA MASONRY CONTRACTION Simu: 0673817130 (WhatsApp), Social Media: SHEBWA MASONRY CONTRACTION, Tupo: Moshi na Arusha Tunatoa Huduma Bora za Ujenzi na Ukarabati wa Nyumba! Je unatafuta huduma za ujenzi au ukarabati wa nyumba yako? Kama jibu ni ndio Timu yetu ya mafundi ujenzi...
  11. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Unapojenga nyumba zingatia hili utaijenga kwa gharama ndogo

  12. Bwashee Machui

  13. Bwashee Machui

    JamiiForums Tanzania Hivi ni sahihi kumuuliza fundi sifa zake za kitaaluma kabla hujampa kazi?

    Ufundi kama ufundi lazima iwe azimio la moyo kama ufundi ujenzi nje ya hapo huwezi kuwa Fundi Mason bora mwenye weledi
Back
Top Bottom