Recent content by BwanyenyeTZ

  1. B

    Hoja binafsi: Zitto akabidhiwe jahazi??

    Hivi unadhani ni Zitto pekee anayoyaona mapungufu tuliyonayo ndani ya chama? Hivi mnadhani hizi chuki mnazozipandikiza dhidi ya Zitto ndio zitanyamazisha watu wasitoe mawazo mbadala ya Mbowe? Tumechoka na huu ujinga wenu wa kumsakama Zitto wakati mkijua wazi kuwa ni mwenyekiti wenu na timu yenu...
  2. B

    Hoja binafsi: Zitto akabidhiwe jahazi??

    Jasusi, Uko zako huko DC usidhani kuwa unaijua CDM kama tuijuavyo sisi viongozi na wanachama wa muda mrefu. Anachosema Kamarade ni kweli, CDM haina ajenda ya uchaga lakini ni wazi wachaga walio wengi wanaamini kuwa ndicho chama kinacholinda maslahi yao ambayo wanaamini kuwa CCM imewabana na hasa...
  3. B

    Hoja binafsi: Zitto akabidhiwe jahazi??

    Sikonge ni wazi ni mtu makini lakini ama ni chuki zako dhidi ya Zitto ama mapungufu yako katika imani ta demokrasia inakupelekea kuwa tayari kupotosha mambo. Moja, Maana ya demokrasia ni pamoja na kutokubaliana na maamuzi ambayo kwako yanaweza kuwa sawa lakini kwa mwengine yasiwe sawa hata kama...
  4. B

    CCM na Mpango wa Kumuua Zitto

    Joka Kuu, Ni kweli Bob Makani ni muislamu na pia aliwahi kuwa mwenyekiti wetu lakini kuna masuala ya kuangalia kama haya hapa chini; 1. Jinsi gani wahafidhina katika chama walipopambana kuzuia ushindi wa Bob kule Mwanza hadi kufikia kufanya vurugu na Freeman Mbowe kutoa bastola na kupiga...
  5. B

    Dr Slaa jaribu UKWELI na UUNGWANA utakusaidia

    Ukweli ni kuwa viongozi wengi wa Chadema wameanza kuchoka kubeba hii tabia ya Dr Slaa kujiona kuwa yeye ndiye muhimu kuliko kitu chochote katika chama kwa sasa. Hata yale maamuzi ya mwanzo kuhusu kususia hotuba ya Kikwete ilikuwa ni kujaribu kumuaccomodate kutokana na kuelewa uchungu wa...
Back
Top Bottom