Recent content by Bwanga ja Town

  1. B

    JamiiForums Tanzania Ufisadi Wizara ya Kilimo Chakula na Ushirika

    Mi nashindwa kuelewa nchi hii inakwenda wapi? Ma afisa ushirika huko wilayani wanafanya kazi ktk mazingira magumu sana hata usafiri wakwenda kutekelea majukumu yao halmashari zinadai hakuna fungu na hii imechangia vyama vya ushirika vingi vife , hivi leo tunaposikia kuna fungu lilipitishwa...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Cooperative Officer G rade II.

    Hakuna kitu kama hicho mininachojua wanaoitwa niwale waliokwisha fanya usaili ila nafasi zikawa chache sasa wale waliochaguliwa. Kama hakuripoti inabidi aitwe alie mfuatia kufaulu ktk ule usaili ndipo unapigiwa cm ila kama hujafanya hata usaili haiwezekani
  3. B

    JamiiForums Tanzania Chonde chonde m4c ikitoka kusini iwe zamu ya moro na tanga

    naunga hoja mkono
  4. B

    JamiiForums Tanzania Vitu gani unavyotakiwa uwe navyo ktk Oral Interview?

    cheti cha kuzaliwa cheti cha shule ya msingi cheti cha sekondari kidato cha nne na sita cheti cha chuo kalamu na picha
  5. B

    JamiiForums Tanzania mtoto kuwa na kitovu kikubwa

    jamani naomba msaada wenu wa kitaalam hivi mtoto akiwa na kitomvu kikubwa anaweza pata madhara gani? na lipi laweza fanyika kama tiba
Back
Top Bottom