Mtu muungwana siku zote kabla hajazungumza kitu anatakiwa afikir kwanza kabla ya kulaumu,na anatakiwa asipende na wala asichukie kitu,mtu n.k kupita kiasi,na asipende kufanya maamuz wakati wa hasira,na atambue hakuna mkamilifu isipokuwa mungu,na asimuhukumu mtu pasi na uchunguz na...