Recent content by BwanaSamaki012

  1. BwanaSamaki012

    Sangara Ziwa Victoria: Ni Baraka kwa Uchumi au Laana kwa Ikolojia ya Samaki wetu wa Asili?

    Ni sahihi Sasa hivi Kuna fishing pressure pamoja na serikali kuweka utaratibu wa kufunga ziwa Kwa Muda fulani ili kutoa nafasi Kwa samaki kuzaliana ila bado hajasaidia natural stock inazidi kudecline ukiangalia report za wizara ya uvuvi ukaona trending ilivyo inashitua sana. Kwa Muda huo...
  2. BwanaSamaki012

    Sangara Ziwa Victoria: Ni Baraka kwa Uchumi au Laana kwa Ikolojia ya Samaki wetu wa Asili?

    Mimi ni mtoto wa kanda ya ziwa. Nimekua nikitazama mawimbi ya Ziwa Victoria yakipiga fukwe za Musoma, na nimeona kwa macho yangu mabadiliko ya kutisha na mengine nmesimuliwa kuanzia miaka ya 1950 hadi leo. Wakati wataalamu wa zamani wakisifu kuingizwa kwa Sangara (Nile Perch) kama "mapinduzi...
  3. BwanaSamaki012

    Vitabu 60 nilivyovisoma mwaka 2025

    Mkuu kana inawezekana tunaomba uweke pdf ya hivyo vitabu ulivyosoma Kwa faida ya wote
  4. BwanaSamaki012

    Ninauza Eneo/Kiwanja Changu (Hungumalwa)

    Nimerekebisha Mkuu, eneo lipo mkoa wa Mwanza, sehemu inaitwa Hungumalwa
  5. BwanaSamaki012

    Ninauza Eneo/Kiwanja Changu (Hungumalwa)

    Ninauza eneo/kiwanja changu chenye ukubwa wa heka tatu (3 acres). Eneo hili linafaa sana kwa ajili ya ujenzi wa makazi, shule, au miradi mingine mbalimbali. Eneo lipo mkoa wa Mwanza wilaya ya kwimba kata ya Hungumalwa, kitongoji cha Mwajikuga, karibu sana na stand, takriban kilometa 1 kutoka...
  6. BwanaSamaki012

    Natarajia kuvuna samaki sato natafuta mteja/wateja Mwanza

    Typing error nilimaanisha nitumie number yako nikuconnect na wateja wangu
  7. BwanaSamaki012

    Natarajia kuvuna samaki sato natafuta mteja/wateja Mwanza

    Hongera sana mkuu, nawatumia number yako wateja wa jumla waje kukuungisha
  8. BwanaSamaki012

    Hivi inawezekana kufuga samaki kwenye Tanks za maji ?

    Kuna haja, ni muhimu kubadilisha maji angalau mara moja kwa mwezi ili usibadilishe maji inakupasa kuwa na best mechanism ya maintain water quality kwa kutumia vifaa maalumu vya kuongeza hewa kwenye maji (Aerators) na kifaa maalumu cha kuchuja maji (bio filter) Kitu kinachofanya kuwe na urazima...
  9. BwanaSamaki012

    Hivi inawezekana kufuga samaki kwenye Tanks za maji ?

    Kisima kitumie kama water source, chimba bwawa pembeni lenye kina cha 1.5m, urefu na upata itategemea na idadi ya samaki unaotaka kufuga. Tumia pond liner kama hizi kupunguza gharama za ujenzi lakini kama uko vizuri financial basi jenga bwawa (Concrete pond). Utakuwa ukivuta maji toka kwenye...
  10. BwanaSamaki012

    Hivi inawezekana kufuga samaki kwenye Tanks za maji ?

    Sehemu nzuri ya kufugia samaki ni ile yenye kina cha 1m hadi 1.5m, kina hiki ndio tunashauri zaidi kwa sababu kina ruhusu mwanga kufika chini (bottom) nakufanya eneo lote la bwawa kuwa productive. Nikiconvert kwenda kwenye mita ni sawa na urefu/kina cha 4.6m na upana wa 3.7m. Kina kikiwa kirefu...
  11. BwanaSamaki012

    Hivi inawezekana kufuga samaki kwenye Tanks za maji ?

    Ndio mkuu bila shaka unaweza kutumia maji ya kisima mufuga samaki, sina uhakika na water quality parameters (temperature, pH, dissolved oxygen, turbidity, conductivity, Salinity level n.k) za kisima chako. Kwa uzoefu wangu maji ya visima vingi ndani ya Tanzania yanaweza kutumika kufugia samaki...
Back
Top Bottom