Recent content by BwanaMiti

  1. BwanaMiti

    JamiiForums Tanzania House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Aksantee Mkuu!!! Mwezi September nitahitaji naomba uanze kunitaftia ntakuchek kwa namba zako!!!
  2. BwanaMiti

    JamiiForums Tanzania House4Rent Karibu upate nyumba ya kupanga Mwanza

    Habari Kaka!!! Nyumba nzima yenye vyumba viwili jiko na sebule maeneo ya usagara naweza kupata kwa bei gani???
  3. BwanaMiti

    JamiiForums Tanzania Unahitaji Gari zuri na unataka kujifunza namna ya kutunza gari lako?

    Kuna kulipia kiingilio??? Tujue Mapema kabla ya kuanza kukusumbua katika namba yako!!
  4. BwanaMiti

    JamiiForums Tanzania Umeshawahi kujutia kumsaidia mtu?

    Dah!! Mkuu ulifika mbali sana!!!
  5. BwanaMiti

    JamiiForums Tanzania Kuna ' Siri ' gani iliyo nyuma ya hii Mikoa ifuatayo, hadi inaongoza kwa Kutoa ' Majasusi ' wengi na mahiri nchini Tanzania?

    Wana wivu haooo na ni wanoko.Ndio maana hii kazi inawafaaa..Si unajua hii kazi ya kimbeambea na unoko mwingi!!
  6. BwanaMiti

    JamiiForums Tanzania I am Looking for serious Man

    Cambridge grammar...2019 Version
  7. BwanaMiti

    JamiiForums Tanzania Nani alishagonga afande humu?

    Mbona Wao wanatugongea mademu zetu mtaani afu sisi tumetulia tu...We endeleza gemu mpaka washike adabu
  8. BwanaMiti

    JamiiForums Tanzania Nani alishagonga afande humu?

    Kuna Mmoja nilipiga nikamuacha visa vyake sasa....Siku moja akatoroka lindo akanojia na machine ananiambia kwa nini unaniacha???? Nakumiminia karanga sasa..Niliomba msamaha..Pona yangu ilikua ni kuhama mkoa..Naskia kuna jamaa Mkurya kamuoa na sasa wana Mtoto!!
  9. BwanaMiti

    JamiiForums Tanzania Kwanini mti wa uzazi wa mpango a.k.a Terminalia Catappa unahusishwa na uchawi

    Lakin hapa naona umepandwa barabarani!!!!!
  10. BwanaMiti

    JamiiForums Tanzania Arumeru: Afisa Usalama afikishwa mahakamani kwa Rushwa

    Jamaa alikua anapokea Mshahara nn???
  11. BwanaMiti

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nawezaje kurudisha text niliyofuta

    Piga simu customer care...omba wa resend hiyo msg..wala usipate wasiwasi
  12. BwanaMiti

    JamiiForums Tanzania Wezi waua mbwa na Kuiba vipuri vya Gari (inasikitisha)

    Aksnte Kijana wa Ilemi ...Juhudi
  13. BwanaMiti

    JamiiForums Tanzania Najitolea kwenda kuichukua ile pikipiki iliyopo vetenary

    Kapicha tafadhali story inoge!!!
  14. BwanaMiti

    JamiiForums Tanzania Kwanini Watanzania wengi wanapenda kufanya kazi idara ya Usalama wa Taifa(TISS)? Je, ni hulka ya mtu mweusi kupenda sifa?

    Wanalipwa kwa mfumo wa Tgs tu...Wakongwe na wenye vitengo ndo wanapiga maisha
  15. BwanaMiti

    JamiiForums Tanzania Kiwanja cha 10x10, kinatosha kujenga nyumba ya vyumba vitatu?

    Maana Halisi ya Utaalam...unashauri kwa evidences....sio kusema haitishi Mara haiwezekani Mara utajenga vyumba viwili tu...Aksante mtaalam
Back
Top Bottom