Recent content by Bwanamaya

  1. Bwanamaya

    Kwanini mnawahukumu mno single mothers?

    Hii ni ya muda sana lakini ngoja nijibu vitu viwili hapa, Kwanza unapaswa kujua hakuna single father Pili unapaswa kujua kuwa mwanaume yoyote tangu anatungwa tumbomi mwa mamake ni husband material. Tatu hakuna mwanaume anapendwa, mwanaume anaheshimiwa. Na hivyo kazi hiyo ya "kupenda"...
  2. Bwanamaya

    Kuachana na mtu na kuanza kumtakia laana huo ni ushamba wa kizamani na kujipa jeraha lisilo la lazima

    Mimi mpaka alimwambiaga rafiki yangu "shemu utaona kama ninachosema ni uongo" sasa wakati naanza nae alikua na mtoto wa mwaka mmoja, wa kike, umeishi kwa vitimbwi ngendembwe za kutosha mara kaenda kwa ex wake mara kaanzisha mpya yaani tafrani, ila mimi nikawa karibu sana na watoto bila kubagua...
  3. Bwanamaya

    Kwa nilichokiona kwenye hii lounge, naacha starehe na mademu, najikita kutafuta hela

    Vile unajipanga ukirudi tu unakuta mabinti wazuri wote wamehama, waliokohamia kuna ma handsome na pesa zaidi pekeako ndo unaanza kuwa na sura ngumu 😅 time doesn't wait
  4. Bwanamaya

    Msaada wa namna ya kuendesha biashara ya mgahawa ambao ni Classic, ingawa siyo sana

    Barikiwa sana mkuu, hili nalo linafikilisha sana nashukuru
  5. Bwanamaya

    Msaada wa namna ya kuendesha biashara ya mgahawa ambao ni Classic, ingawa siyo sana

    Nashukuru sana kwa ushauri mzuri nimekuelewa vyema...sema hapo mwisho sasa[emoji28][emoji28]
  6. Bwanamaya

    Msaada wa namna ya kuendesha biashara ya mgahawa ambao ni Classic, ingawa siyo sana

    Wapendwa kama ambavyo nimeandika hapo, naomba msaada wa kitaalamu jinsi ya kuendesha biashara hii. Sijafungua ila nimesha fanya maandalizi ya chumba pamoja na vifaa baadhi, ishu kubwa itakuwa kwenye ku-manage pesa na wafanyakazi nk.
  7. Bwanamaya

    Taja Taasisi ya Serikali ya Tanzania ambayo ilipaswa ifutwe mara 1 bila majadiliano ya Bunge

    Tena tutaishi vizuri sana, kwasasa tunaishi kwa bajeti ya pesa ambayo haipo mkononi, "mchongo ukikaa sawa nanunua kiwanja" afu mchongo unaruka kijiji, sawa na tenesko, unasema umeme ukirudi nitapona, unapumua kwa tabu mpka unakufa yenyewe yamekaa tu kama uji unasubiri kumiminwa [emoji36]
Back
Top Bottom