Recent content by Bwana Kimbunga

  1. B

    Wako wapi waliodai Tume ya Katiba haina weledi na wala si huru!??

    Nape Nnauye Professor Baregu amewavua nguo CHADEMA na katibu wako mkuu...... Professor Baregu once said “If I told to choose between my country and my party (CHADEMA), I will choose my country,” akiwa na maana kwamba kama angetakiwa kuchagua kimoja kati ya nchi yake na chama chake cha...
  2. B

    Mwigulu Nchemba: Dr. Slaa na Mbowe wakamatwe kwa ugaidi!

    Hakika Yametokea Mengi Hapa Nchini Katika Kipindi Kifupi Cha Kama Miezi Miwili....Na kwa bahati mbaya matukio hayo yamekua si azuri kwa image ya CHADEMA....kubwa ni la kuhusishwa na UGAIDI...Yes UGAIDI ama kiingereza tunasema TERRORISM...lakini ukiangalia kwa mapana na marefu utajua ya kwamba...
  3. B

    Kinana kusimamia uchaguzi nchini Kenya

    Safari_ni_Safari Upuuzi gani tena huu.....kweli mafunza wamejaa humu jamii forums
  4. B

    Maswali ya msingi kuhusu uraia wa Kinana (katibu wa CCM taifa)

    Mohamedi Mtoi Hilo jina lako la kwanza linanipa mashaka na elimu yako na uwezo wako wa kupambanua mambo.....sikushangai coz jina lako la kwanza lina reflect u r background kabisa.....
  5. B

    Zanzibar: Padre apigwa Risasi na watu wasiojulikana

    Father Ambros Mkenda wa Kanisa la Katoliki la Mpendae amepigwa risasi na watu wasiojulikana nje ya nyumba yake majira ya saa 12 jioni leo wakati akitokea kanisani. Kamanda wa polisi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Azizi Juma amethibisha kutokea kwa tukio hilo na amesema hakuna mtu anayeshikiliwa...
  6. B

    Ninaomba MDAHALO wa kisiasa na Nape Nnauye

    Mohamedi Mtoi Mtu mzima hovyoooo.......akili yako ndio imekutuma kuandika huo upuuzi ama ni akili za ziada.....
  7. B

    Ninaomba MDAHALO wa kisiasa na Nape Nnauye

    Yericko Nyerere Naona hizi mbege za christmass zinakupelekesha vibaya..........wewe ni nani katika siasa za Tanzania mpaka uombe mdahalo na Nape.....nani anakujua huko nje kama si hapa Jamii Forums........Acha kuota bwana mdogo
  8. B

    Natafuta nyumba ya kupanga

    Hello wana JF Natafuta nyumba ya kupanga maeneo ya chang'ombe......napendelea iwe maeneo ya TCC ama upande wa Mchicha. Iwe na room moja na sebule yake pia. Regard, Bwana Kimbunga
  9. B

    Kinana arudi uongozinii CCM kwa nuksi kubwa. Apambana na pigo baada ya pigo kutoka Chadema.

    Hard Hitter Sijawahi kukutana na thread iliyojaa utumbo na mafunyunyu kama yako.....najua kuna watu either wanakuita baba,kaka,baba mkubwa ama mjomba ila wangejua upuuzi ulioandika hapo haki ya nani wangekutusi.....hivi kwa kutumia akili yako ndogo huwezi kuona kuwa toka sekretarieti mpya ya...
  10. B

    BAVICHA kuitisha maandamano ya kitaifa kumg'oa Dr. Slaa!

    Babu Slaa ni Janga La Taifa......Hatumtaki katika medani ya siasa ya nchi hii.....pumzika Babu MchakaMchaka wa Siasa Za Bongo Huziwezi.....
  11. B

    05/04/2012 - Siku hiyo historia iliandikwa jijini Arusha

    Ilikuwa ni siku ya Alhamisi...tarehe 5 mwezi April mwaka 2012.....nikiwa nimetulia zangu home maeneo ya USA River Simu yangu iliita...taratibu nikaitoa mfukoni na kuicheki screen kujua nani anaenipigia....screen ya simu yangu ilikuwa inasoma hivi " Godbless Calling" well najua mnataka kujua ni...
  12. B

    Dkt. Slaa kazini: ziara ya ukaguzi uhai, ujenzi wa Chama, asema kazi ni moja tu...

    Hivi Babu Slaa amesharudisha kadi ya CCM ama bado anatembea nayo???
  13. B

    Kadi ya CCM yamponza Slaa... Sasa ashinikizwa kujiuzulu nafasi yake!

    Kweli kabisa Kenya huwezi kusikia upuuzi kama huu wa katibu mkuu wa chama cha upinzani kumiliki kadi ya chama tawala....
  14. B

    Kadi ya CCM yamponza Slaa... Sasa ashinikizwa kujiuzulu nafasi yake!

    I said before, and i am going to say it again and again, wafuasi wa chadema ni wababaishaji na vilaza wakubwa to the extent that kila anapoguswa GOD FATHER wao Slaa basi povu linawatoka....hii habari ya Slaa kumiliki kadi ya CCM si issue ndogo hata mujaribu vp kuipiga chini....just imagine Mitt...
  15. B

    Facts check: John Shibuda is stronger than CHADEMA!

    Hahahahahahaha kweli nimeamini ukitaka ugomvi na PRO-CHADEMA yaani mguso Slaa utaona Povu likiwatoka....lolz
Back
Top Bottom