Ni rahisi kupata part tiem jobs ukilinganisha na UK, pia ule Uzungu na Uafrika haupo kama UK. Na mengine mengi kama sehemu nyingi weather yake ni ya kitropiki kama Tz!
Kwa hilo la ongezeko, inajulikana kuwa kadiri kitu kinavyojijenga pole pole hasa viumbe hai (wanyama na mimiea, vivyo hivyo na uimari/ubora wake pia) (nukuu zipo ila ni mpaka kuzichambua na hapa hatuko mahakamani ila ni kwa ajili ya kuelekezana/kuelimishana).
Hilo la pili la kuhusu chanzo cha...
Kuongezeka " 0.7-0.9kg kwa siku", kama ni kweli lazima kutakuwa na side effects kwenye quality ya nyama nk. Believe me or not. Hapo ni ongezeko la wastani wa kilo 1 kwa masaa 24!!!!!!
Hiyo mbegu mliibreed wenyewe au exotic? Kama ni imported vipi swala la "GMOs"! Kama ni imported tuwe makini...
Kuna mtaalamu wa zao hilo yupo Kituo Cha Utafiti wa Kilimo Naliendele, Mtawra (tunafanya naye kazi) wasiliana nae kwa namba hii +255688214812, utapata kila kitu unachohitaji.
Nami naingia kwa mara ya kwanza. Eneo la Bungu linafaa sana kwa mazao yote mawili. Ushauri mwingine wa awali ni kwamba ufuta unafanya vizuri sana kwenye ardhi yenye rutuba ya kutosha au kwa kuongezewa rutuba kwa kutumia mbolea za viwandania au mbolea nyinginezo kama samadi n.k. Tahadhari kwenye...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.