Jamani neno mfalme nalo ni kutoka lugha nyingine ambayo niya kibantu,kiarabu ni maalik kama ni mwanamume na maalkiya ni mtawala wa kike.itoshe tu tuelewe kuwa kwa kiswahili safi ni mfalme kwa kiingereza king, kuna namna nyingi za kufafanua vyeo hivi lakini pia neno sultan ni la kiarabu pia lenye...
Wewe ndugu hilo neno amirijeshi na amirati jeshi si dogo kama mnavyosema, hao wanaong'ang'ania hicho cheo kiwe cha kike wana maana yao mbaya sana usiwabeze hiyo nafasi wameitafuta kwa muda mrefu.
Elewa amir kweli ni neno la kiarabu lakini lilipoingizwa kwenye kiswahili lilitoholewa kutoka lugha...
WEWE WIRELESS BRAIN MIMI SIKUFUNDISHI ILA NIKWAMBIE TU HUJUI KUTAFSIRI MAANDIKO MAANA HUNA ROHO MTAKATIFU NA HUYO ANAEKUFIKIRISHA NI ROHO MTAKAFUJO a.k.a SHETANI,EBU FIKIRI KIDOGO TU NI KWA NIA GANI HASA UNAOA MKE NA HUKU UKIJUA ATAPATA MIMBA NA ATAZALIWA MTOTO AMBAYE ATAKUTANA NA SHIDA NYINGI...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.