Recent content by Bwana Bongo

  1. Bwana Bongo

    Porojo za bongo

    Uwo sasa ni mtazamo wako siwezi kubishana na wewe Lakini mifano ipo na imeitoa wazi wazi
  2. Bwana Bongo

    Chukua hii kuanza mwaka mpya

    Mae hapo AO5 au ZTE
  3. Bwana Bongo

    Porojo za bongo

    Unaita watu mboga mboga kisa kueleza uhalisia?
  4. Bwana Bongo

    Chukua hii kuanza mwaka mpya

    Mikopo ya Ushauri Kila mtaa una wale watu wanaokopesha kila kitu—pesa, nguo, kiwanja, nyumba, gari. Lakini aliibuka mtu mmoja yeye, alikopesha ushauri. Ndiyo. ushauri. Alikuwa anaitwa Mshauri, lakini wengi walimwita tu Mjomba Kichwa. Hakukuwa na kitu ambacho hakuwa na maoni nacho. Ukiwa na...
  5. Bwana Bongo

    Porojo za bongo

    Unamaana ipi?
  6. Bwana Bongo

    Porojo za bongo

    Nikiwa napitia kitabu chenye jina la kiongozi, ambacho kinajulikana kihistoria kama The Prince, kilichoandikwa na Niccolò Machiavelli mnamo karne ya 16, nilikutana na hoja zilizofanya nianze kutafakari kwa undani hali ya uongozi na mabadiliko ya mamlaka. Kitabu hiki ni miongoni mwa kazi muhimu...
  7. Bwana Bongo

    Soko la kivulu

    #NDOTO: 14 SOKO LA KIVULI Nilijikuta nimesimama kwenye soko lisilo la kawaida—kila mtu aliyekuwa pale alikuwa kivuli, si mtu kamili. Waliuza vitu visivyoonekana: mtu mmoja aliuza “heshima,” mwingine “wakati na familia,” mwingine “msamaha ,” na mwingine “amani ya moyo.” Mwanamke mmoja mwenye...
  8. Bwana Bongo

    Tume iliyo na nafsi

    NDOTO: 16 TUME ILIYO NA NAFSI Nilijikuta ndani ya jengo refu lililojengwa kwa vioo—ukuta kila upande ulikuwa ni uso wa wananchi. Nilitembea hadi katikati ambapo meza ya duara ilizungukwa na viti vya ngozi. Katikati ya meza hiyo kulikuwa na kiumbe wa ajabu—si binadamu, si mashine—lakini...
  9. Bwana Bongo

    Kila nikilala, najikuta kwenye ndoto ambazo hazina uwiano — ni kama mtu anae shona kaptura kwa mshipi

    Mimi sijui nina matatizo au ni akili yangu imeamua kupiga mbizi bila kujua kina cha bahari, hata kuna siku nilikuwa nikimuadithia swahiba wangu alibaki kunicheka, nikuhusu ndoto zangu Kila nikilala, najikuta kwenye ndoto ambazo hazina uwiano — ni kama mtu anae shona kaptura kwa mshipi. Usiku...
  10. Bwana Bongo

    Sio kila anayekuuliza, anakujali—wengine wanakuscan

    #Porojozabongo "Sio kila anayekuuliza, anakujali—wengine wanakuscan." "Unajua watu wa leo?" Anaongea Bw. Bongo huku macho yake yakivinjari usoni kwa Mgogo. "Wana maswali mengi, lakini si ya kusaidia—ni ya kukuchunguza. Anavuta pumzi, "Eti una kazi?" akaigiza kwa sauti "Una pesa?" "Una...
  11. Bwana Bongo

    Ukiona umekaa sana, kaa vizuri

    #Porojozabongo "Ukiona umekaa sana, kaa vizuri." "Unajua maana ya hiyo sentensi?" Bongo anazungumza "Mmh, ni kukaa kwenye benchi, au?" akauliza mgogo asiye na mgogoro "Hapana, hiyo ni ya maisha. Ukiona umekaa sana—yaani maisha yako hayatembei, kila kitu kimesimama—basi kaa vizuri, kwa maana...
  12. Bwana Bongo

    Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie

    Nimeanza kushuku kama hawa watu wa mitandao ya simu ni wasanii waliokosa kazi Bongo Movie, wakaamua kutu-actia. Maana sasa hivi ukiwa na bundle ni kama uko kwenye uhusiano wa long distance—upendo upo, mawasiliano hayapo! Unaamka asubuhi, unacheki simu: “Huna salio la kutosha kutuma ujumbe huu.”...
Back
Top Bottom