Recent content by bwakila5188

  1. B

    JamiiForums Tanzania Urusi yakamata shehena ya drones za Marekani, American Kamikaze drones switchblade: "Tutazitumia kuangamiza magarivita na vifaru vya Ukraine"

    Russia hakushindwa kuingia Kiev,bali aliondoa majeshi in good faith kufuatia sharti la Ukraine ili wasaini makubaliano ya kusitisha mapigano nchini uturuki.Baada ya yeye kuondoa majeshi,ukraine akamgeuza msimamo ndio maana Russia akala kiapo kuwa aasa hakuna tena mazungumzo,ndo kichapo.Ni suala...
  2. B

    JamiiForums Tanzania Urusi imehusisha asilimia 75% ya jeshi lake lote kwenye huu ugomvi, na bado shughuli ipo

    Acha kupotosha wewe,aliyekumbia jeshi zima la urusi lina wanajeshi 120,000 kakudanganya,google kisha urudi hapa kubisha tena.Jeshi la urusi lina wanajeshi zaidi ya milioni 1 waliopo kazini na zaidi ya milioni 2 wa akiba.Na pia hiyo idadi ya waliongia ukraine umeitoa wapi?
  3. B

    JamiiForums Tanzania Putin atoa masharti yake ya kumaliza vita yake na Ukraine, na hivyo kuondoa majeshi yake kwenye nchi hiyo

    Hilo miachie Putin,yeye anajua nini atafanya na wewe na wamerakani wenzio mtashuhudia kwan anajua nink anataka na hatanii linapokuja suala la maslahi ya nchi yake
  4. B

    JamiiForums Tanzania Urusi ina matajiri wengi na wafanyabiashara wakubwa na hawa ndio watakaomtoa Rais Putin

    Na hiyo ndiyo shida ya West kutaka kuamini mfumo wao ndio best kuliko wengine lkn ukiangalia huko kwao ndo kumejaa mauaji ya raia,wapiga dili na wala rushwa,madawa ya kulevya n.k tofauti na nchi kama Russia na China.Hakuna Kiongozi Imara wa Marekani anayemshida Putin kwa umadhubuti na kuijenga...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Hii ni aibu kubwa sana kwa Urusi

    Ndivyo mataifa ya magharibi yanavyotaka wewe uelewe kwa kukulisha hizo propaganda za mara Russia kaelemea,mara putin hapendwi lkn asichowaambia ni kuwa Russia kasimamisha mapigano mara 3 kutoa nafasi ya mazungumzo,na pia Russia anajaribu kutafuta namna ya kuiteka Kiev bila mauaji mengi ya...
  6. B

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

    Russia kabakiza Kiev tu ili awe ameteka nchi kitu ambacho kitazua kelele ndio maana Putin aliagiza jeshi lisichukie Kiev kwanza ili kutoa nafasi ya mazungumzo na Ukraine ambapo imeshindikana,now katoa go ahead so subiri kisha utaona kama atafanikiwa au lah.Pili lazima ujue kuwa hata Ukraine...
  7. B

    JamiiForums Tanzania Mzozo wa Ukraine: NATO yaanza kupiga jaramba

    Wewe kwa akili yako unadhan Putin ni mjinga sana na hakufikiria hayo yote?Kama wewe umewaza hayo unadhan Putin hakufikiria hayo kabla yako?
  8. B

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zitashinda vita na Urusi, Magharibi wanapigana kisayansi Putin yatamkuta ya Saddam Hussein muda sio mrefu

    Usiamini kila unachoona kwenye media hususan za west.Kwan Russia hakuna raia wa Ukraine na mataifa mengine?una uhakika gani wale ni warusi?Na pia Russia ina raia zaidi ya milioni 150 na humo wapo wapinzani kama chadema hapa kwetu so wakiandamana haimaanishi ndo warusi wote wameamua hivyo
  9. B

    JamiiForums Tanzania Nchi za Magharibi zitashinda vita na Urusi, Magharibi wanapigana kisayansi Putin yatamkuta ya Saddam Hussein muda sio mrefu

    Usikariri ndugu,huyo US anategemea engine za ndege kutoka Russia.Google kabla hujaja tena kubisha
  10. B

    JamiiForums Tanzania Nawakumbusha wanaJF, Russia alipeleka Jeshi kumlinda Nicolas Maduro ila Marekani kashindwa kumlinda Rais wa Ukraine

    We huna akili kabisa,hiyo screen shot inasema hizo kilometa ni kutoka New York to Moscow,sasa wenzako wanakuuliza umbali wa Russia to USA maana yake unatakiwa kuchukua closest point between them ndo upime. Acha kukariri na jifunze kutafakari ulichoulizwa.Sasa nakurahisishia,Kuna sehemu inaitwa...
  11. B

    JamiiForums Tanzania Mradi wa LNG: Tukicheza Vizuri wakati huu ni hakika Umasikini tutausahau Tanzania na Samia anaweza kuwa Rais Bora zaidi kuwahi kutokea Tanzania

    Hilo African report ni kati ya majarida yasiyoamika duniani,lipo kisiasa zaidi.Na pia hiyo LNG unayoiongelea hujui kuwa ina wamiliki wake tofauti kabisa na sirikali ?Sasa sisi tutanufaika vipi zaid ya kuingizwa mjini kwa mara nyingine na wapigaji kwa kuwajengea miundombinu? Tatu,sie wenyewe...
  12. B

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu: Kufuta kesi ya Mbowe sio kuingilia Uhuru wa Mahakama

    Mahakama ikikuhukumu miaka 10 na ukakata rufaa,je kipindi unasubiri rufaa ianze kusikilizwa utakuwa nje kama raia huru au utaendelea kutumikia hukumu yako ya miaka 10 mpaka hapo rufaa yako itakapohitimishwa?Same na wale wabunge 19 maadamu wamefukuzwa uanachama hawapaswi kuwepo bungeni mpaka pale...
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mathias Chikawe ateuliwa Mwenyekiti bodi ya TIPPER

    kwahiyo wewe unataka kutuambia uzoefu wa uongozi unaambatana na uzee?Huyo anapeleka uzoefu gani Tipoer kwenye mambo ambayo kwa asilimia nyingi hayajui?
  14. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 18, 2021. Kesi imeahirishwa hadi Novemba 22, 2021

    Wanakupa wakili wa bure akutetee
  15. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri katika kesi ya Freeman Mbowe - Novemba 17, 2021: Kesi yaahirishwa mpaka tarehe 18/11/2021 saa tatu asubuhi

    Wanapinga usipokelewe sababu haukidhi viwango na upo kinyume na sheria/utaratibu.Ni hayo tu
Back
Top Bottom