Recent content by bwainabwai

  1. B

    JamiiForums Tanzania Aliyemshauri Rais aende kwenye uzinduzi badala ya kuaga miili ya askari alikosea sana

    Mshauri mkuu ni Bashite, ukitaka ushaidi hata wageni wa UDSM yeye ndo alikuwa anawatafuta na kiongozi gani anatakiwa kuwepo.
  2. B

    JamiiForums Tanzania Aliyemshauri Rais aende kwenye uzinduzi badala ya kuaga miili ya askari alikosea sana

    Kama ulikuwepo kwenye sherehe za 9 dec au uliona kwa TV, utaona rais anakurupuka kwenda kupiga ngoma kinyume na utalatibu uliokuwa umepangwa na walinzi wake. Anafanya vitu vizuri kwa taifa lakini kumbuka sio Mungu naye anakosea anapaswa kukosolewa.
  3. B

    JamiiForums Tanzania Aliyemshauri Rais aende kwenye uzinduzi badala ya kuaga miili ya askari alikosea sana

    kwa hiyo hata kushitukiza huwa anapangiwa na walinzi wake
  4. B

    JamiiForums Tanzania Kati ya tengua teua za JPM na safari za JK kipi bora

    Ndugu waTz wenzangu Nimekaa na kutafakali hivi kati ya safari za JK enzi zake nakupewa jina la Vasco dagama na hii zana ya tisha tisha ya JPM ya tengua na teua kipi kina maslahi kwa taifa letu. Maana enzi za JK watz tulikuwa tunapiga kelele sana kwamba mshua anasafiri mno lakini kipindi hiki...
  5. B

    JamiiForums Tanzania Saga la Makonda: My Take

    Kikubwa hapo akimuondoa kwa cheti feki, wapinzani watarudi na PHD yake inaweza kuwa tatizo
  6. B

    JamiiForums Tanzania Mungu, kwanini umeyaruhusu haya?

    Nenda ofisi za mkuu wa mkoa wa DSM ukamueleze moja kwa moja kuliko kuandika hapa.
  7. B

    JamiiForums Tanzania Yaliyojiri kwenye ukaguzi wa Polisi katika Ofisi za JamiiForums na Nyumbani kwa Mkurugenzi, Maxence

    mmiliki wa facebook naye atafuata kuisoma namba maana ana host tanzagiza na ametakiwa mara nyingi kutaja wamiliki wa tanzagiza amegoma
  8. B

    JamiiForums Tanzania Kashfa nzito ndani ya Benki ya NMB

    hiyo inatakiwa kuwa mada inayojitegemea
  9. B

    JamiiForums Tanzania Mkapa, Kikwete, Salim, Warioba, Spika na Naibu wala kiongozi wa kimataifa hakuwepo!

    watu wengine bana bada ya kushangaa kwa nn mama jenet hakuwepo unashangaa mugabe kutokuja bongo
  10. B

    JamiiForums Tanzania Ununuzi wa ndege 6 ulipangwa bajeti ipi?

    Bunge kwa kipindi hiki halina kazi yoyote nazani ,rais angekutumia mamlaka aliyopewa kufanya bunge wawe wanakutana mara moja kwa mwaka, pesa tunayookoa hapo itumike kujenga viwanja vya ndege vya maana kila mkoa.
  11. B

    JamiiForums Tanzania Je, waislamu walikosea kumtuhumu Ndalichako?

    Nijuavyo mimi Mkuu wa Magogoni akiona post hii, atasubiri Prof yupo kwenye sherehe fln anamtwangia simu live kumpa pongezi Mkuu si mtu wa sport sport
  12. B

    JamiiForums Tanzania Kikaragosi cha Masoud Kipanya sijakielewa leo

    angekuwa wa mtaa wa ufipa asingekuwepo redio ya taifa ya mawingu fm
  13. B

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli amteua Ndg. Charles E. Kichere kuwa Naibu Kamishna Mkuu TRA

    Kila mtu na starehe yake yule aliyeondoka alikuwa anapenda kusafiri kama vasco dagama, huyu bwana anapenda kutengua na kuteua dah nazan baada ya miaka kumi safari za yule bwana zinaweza lingana na tengua teua za bwana huyu
Back
Top Bottom