Nwalimu alisema si dhambi kwa mkubwa kuomba radhi. Hayo ni makosa makubwa hakukuwa na sababu yoyote ya msingi ya raisi kuacha kuhudhuria uagaji wa miili ya askali wetu hata kama walikuwa hawana vyeo lakini walijitolea maisha yao kwa ajiri ya tanzania. Macho na masikio ya wengi yalikuwa kwenye huo msiba na si huko alikokwenda.
Hakuna kitu cha thamani kama uhai hivyo wale walifariki ni kama famila yake . unaachaje kwenda kuwaaga watu waliojitolea maisha yao unaenda kuzindua majengo vitu ambavyo vingeweza kupangiwa siku nyingine.
Raisi wetu ajifunze kuwa mwepesi kuhukudhuri kwenye shughuri ambazo zinawatia simanzi watanzania wengi.
Watanzania wanatunza tu kumbukumbu na mwisho wa siku watamwona raisi kama ni mtu asiye jali watu wake ili hali hujisifu kwenye majukwaa kama raisi wa wanyonge.
Watanzania walitaka kusikia kauli ya mkuu wa nchi katika kutangaza vita dhidi majambazi jwa sababu raisi kwa mujibu wa katiba yetu amepewa mamlaka ya kutangaza vita, maafa na majanga mbalimbali yanayotokea nchini , na pale kwenye kuwaaga wahanga ndio paleikuwa mahali muafaka kwani hata akiongea raisi kuna kuwa na uzito mkubwa kuliko akiongea waziri .Vilevile watu walitaka kusikia wategemezi wa marehemu raisi anawatefemeza vipi kwani wahanga hao wana watoto wadogo wanaosoma, wazazi na wengineo. Nimeongea haya huku nikikumbuka tukio la wanajeshi wetu zaidi ya watatu waliokufa Congo DRC wakati JK akiwa raisi na alihudhuria na alionyesha kuhudhunishwa kwa kiasi kikubwa huku akitoa ahadi ya kuwasaidia watoto wa wahanga wale kwa kserikali kuwasomesha.
Nadhani watu walio pewa dhamana ya kumshauri raisi walikosea sana , walishindwa kutekeleza majukumu yao