Recent content by Bwagada

  1. Bwagada

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Morogoro mjini karibu na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Ahahaha s kweli usemalo..
  2. Bwagada

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Morogoro mjini karibu na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Unapajua makao makuu ya mkoa? kuanzia ikulu na ofisi zake?
  3. Bwagada

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Morogoro mjini karibu na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Jirani n kuanzia kipimo gani?
  4. Bwagada

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Morogoro mjini karibu na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    So ukaribu huamzia urefu/umbali upi?
  5. Bwagada

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Morogoro mjini karibu na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Simu yangu ina changamoto kidgo ndo mana nmetuma hvyo...,kwa app niliyotumia imeonyesha vipimo hvyo
  6. Bwagada

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Morogoro mjini karibu na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Asanteee na kwako pia...,karibu maporini
  7. Bwagada

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Morogoro mjini karibu na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Umbali hauzidi km 2 kutoka kwenye kiwanja.
  8. Bwagada

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Morogoro mjini karibu na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Shida hujitambui na unakalili maisha,kwa ucheap huo una maeneo mangapi unayamiliki morogoro mjini?
  9. Bwagada

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Morogoro mjini karibu na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Unaulizia ofisi ya mkuu wa mkoa au kiwanja?
  10. Bwagada

    JamiiForums Tanzania Simba hii sio ya kufungwa na Yanga hii, ikitokea ntaenda kujizika hai kwetu Chumbageni

    Umekojoa lakini?isije kuwa unaota hapo ulipo
  11. Bwagada

    JamiiForums Tanzania Plot4Sale Kiwanja kinauzwa kipo Morogoro mjini karibu na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa

    Kiwanja kinauzwa Milioni 20 kwa ukubwa wa upana miguu 35 na urefu 40.,kipo kata ya meter chache kutoka ofisi ya mkuu wa mkoa..., Sio cha kuchimba na kinafaa kwa ujenzi wa nyumba ya familia au hata hotel. Huduma za maji na umeme zipo karibu ya kiwanja. Piga 0787804003 au 0715812003
  12. Bwagada

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Moses Phiri naomba nisiwe mnafiki

    Mimi ni yanga ila Kwa phiri mmemkosea pakubwa sana
  13. Bwagada

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mila za Kabila la Waluguru zina kasoro, chukua tahadhari kabla hujaoa huko

    Huyu n mwanaume yule ambaye anakalili maisha so wazoee wanaume wa aina hii cos hawajitambui kabisa
Back
Top Bottom