Recent content by BVR 2015

  1. BVR 2015

    Unatumia VPN gani?

    Natumia VPN hiyo zamani nilikua napata hadi vifurushi vya data vya bure
  2. BVR 2015

    Umoja wa Mataifa kuhamishia kikao cha General Assembly kwenda Geneva

    China sio mchangiaji na hatoi misaada piga nchi zote za africa zikiwepo na Asia wanategemea misaada toka US , China yeye yupo kibiashara sio kusaidia misaada ya hutu.nikupe mfano mmoja juzi Afghanistan ilipitiwa na tetemeko la ardhi na kuua maelfu ya watu cha ajabu china hajatia hata mguu na...
  3. BVR 2015

    Unajua kuwa account za benki mnazofungua kisiri siku mkifa mnawatajirisha ma managers wa benki na sio ndugu zenu?

    Hujataja ila ukifa akaunti yako inakua automatically dormant sababu itakua haiweki pesa au kutoa pesa .
  4. BVR 2015

    Unajua kuwa account za benki mnazofungua kisiri siku mkifa mnawatajirisha ma managers wa benki na sio ndugu zenu?

    Ulongo hakuna kitu kama hicho meneja wa benki hana uwezo wa kufufua akaunti mfu ya mteja (dormant account) hizo pesa uwa zinachukuliwa na BOT sio benki husika pale mteja unapokua umekufaa na akaunti yako ikiwa mfu kwa miaka kadhaa.
  5. BVR 2015

    Deus Kibamba: Mbunge akimaliza miaka mitano Bungeni anapewa kiinua mgongo Sh Milioni 380+

    Sasa kuna mbunge mtarajiwa katumia tsh.500,000,000/= kuhonga wajumbe na akafanikiwa je naona mbona kama anapoteza
  6. BVR 2015

    Tetesi: Machinga wanaofanya biashara Kariakoo wamezuiwa kufungua biashara zao ili waende kwenye ufunguzi wa kampeni ya CCM Kawe

    Machinga wa Kariakoo kesho wameambiwa wasifungue biashara zao ili waudhurie uzinduzi wa kampeni wa CCM Kawe. Kwa mujibu wa taarifa, kesho machinga wote wanaofanya biashara maeneo ya Kariakoo hawataruhusiwa kufungua biashara zao na badala yake wameelekezwa kwenda Kawe. Baadhi ya machinga...
  7. BVR 2015

    Watu na heshima zao wadhalilishwa kwa chakula kiasi hiki ambacho kipo karibu yao

    Wapalestina waliopo west bank siwaoni hata kuandamana wala kulalamika kuhusu uovu wanaofanyiwa ndugu zao wa gaza lakini wapalestina wa tandale au buza kila siku kucha wanalalamila
  8. BVR 2015

    Uwekezaji wa GSM kwa Yanga na uwekezaji wa Mo kwa Simba unanipa mashaka ambayo sasa naona majibu

    GSM sio mwekezaji bali ni muuzaji wa jezi za yanga.Kuna faida kubwa anapata kupitia hayo mauzo ya jezi kiasi kidogo anakichukua na kuwarudishia yanga akidai kama pesa ya ufadhili kumbe sio ni pesa halali kabisa za yanga kupitia mauzo ya jezi zao
  9. BVR 2015

    Kisa cha tapeli aliyeuza uwanja wa ndege Nigeria

    Kuna tapeli aliuza msikiti pale morogoro kwa mmasai
  10. BVR 2015

    Wakati wa kukabidhi kombe kwa Chelsea jana sikuona Rais Trump akiwa na walinzi

    Ukuangalia walikua nyuma la lile jukwaa tena kuna njemba kama 3 silikua zinaangalia mashabiki nami nilikua na mtazamo kama wako lakin nilivyoaangalia vizuri nikawaona wametanda na suti zao nyeusi
  11. BVR 2015

    Viongozi wa Iran wanaamini kuwa Israel ilitumia majini kwenye vita vya juzi, haiwaingii akilini kuwa walipigwa kizembe

    https://www.jpost.com/middle-east/iran-news/article-860798?utm_source=chatgpt.com
  12. BVR 2015

    Umeshawahi kujiuliza kwa nini baadhi ya watu hutafuna kucha zao mpaka zinachubuka

    Nami nasubili jibu ili sababu rafiki yangu ana mtoto wake wa kike yupo sekondari nae anakula kucha hadi damu zinamtoka hadi tumeplani tuwe tunamvisha glove
  13. BVR 2015

    Je Israel wana hitami kupata Ndege-vita ya kimkakati B-2.?

    Hii dege aliuzwi kwa ajili ya usalama wa marekani tu na wanaendelea kuiboresha tambua inauwezo wa kubeba hadi nyuklia ndio ndege hazina wanaogopa kuvujisha siri iliyopo ndani ya hiyo ndege ndege ambazo zinauzwa kwa washirika ni kama F 16 au F 35.
Back
Top Bottom