Recent content by Buzi Maarufu

  1. Buzi Maarufu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila tukikorofishana anatishia kujiua, nipeni maarifa

    Anayetishia kujiua muogope sana anaweza akakuuwa mwenyewe
  2. Buzi Maarufu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila tukikorofishana anatishia kujiua, nipeni maarifa

    Ngoja atulie, nitamwambia ili nisije nikapata misukosuko kafie hospital ,pia atakuwa amepunguza gharama za kusafirisha mwili kwenda mortuary
  3. Buzi Maarufu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila tukikorofishana anatishia kujiua, nipeni maarifa

    Wee acha tu akianza kulia mpaka anaamsha majirani,na kila wakija kusuluhisha mkosaji yeye.
  4. Buzi Maarufu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila tukikorofishana anatishia kujiua, nipeni maarifa

    Sijui ana kichaa kilichojificha hata sielewi.
  5. Buzi Maarufu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kila tukikorofishana anatishia kujiua, nipeni maarifa

    Nina kimeo changu kinaniendesha mpaka nakosa usingizi, nikitaka kumtimua anatishia kujiua. Sasa sijui anaweza akafanya kweli au mikwara tu, siyo mara moja ni zaidi ya 20, kila akinizingua nikitaka kumtimua anatishia kunywa sumu na hatishii kujiua yeye tu mpaka mtoto. Kibaya zaidi tulibebana juu...
  6. Buzi Maarufu

    JamiiForums Tanzania Joaquim Chissano: Siwezi kuzungumza Kiswahili kama mnavyodhani

    Umechanganya habari,hapa anazungumziwa Joaquim chissano sio Filipe Nyusi,Chissano ni Mmachangani sio Mmakonde.
  7. Buzi Maarufu

    JamiiForums Tanzania Anahitajika kiongozi wa kujitoa akili ili kuua ukabila ulioanza kuimarika nchi hii

    Ukabila ukiuawa na utaifa utakufa pia.
  8. Buzi Maarufu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wananusa kama mbwa?

    Nitamfikishia ujumbe
  9. Buzi Maarufu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wananusa kama mbwa?

    Maharage yakipikwa pamoja na mahindi yanaitwa makande,na tangawizi na chai vikipikwa pamoja je?
  10. Buzi Maarufu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wananusa kama mbwa?

    Hamtumii ndumba?
  11. Buzi Maarufu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wananusa kama mbwa?

    Hao ni watu baki,Je unaweza ukahisi chochote mkeo akicheka sana na ndugu yake wa kiume?
  12. Buzi Maarufu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wananusa kama mbwa?

    Hivi Mapepo na Shetani wana ushirika?
  13. Buzi Maarufu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nina miaka 30 sina mtoto

    Nini faida ya kuwa na mtoto?
  14. Buzi Maarufu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wananusa kama mbwa?

    Mjomba wake, Aisha hajui kama alishawahi kuhisiwa
  15. Buzi Maarufu

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Hivi wanawake wananusa kama mbwa?

    Swali zuri sana, Lakini ukweli unabaki palepale kwamba alichokihisi mke wa Jamaa kilikuja kutokea kweli hata Kama Aisha alilazimishwa,hilo unalizungumziaje?
Back
Top Bottom