Recent content by Buyaka

  1. Buyaka

    Mageuzi Katika Mtaala wa Kufundusha Historia ya Uhuru wa Tanganyika

    Sawa tumekubali. Jamani, wasitutoe kwenye reli. Msikubali watugawe.
  2. Buyaka

    PostGE2025 Msemaji mkuu wa Serikali Gerson Msigwa awahakikishia watalii usalama na kupuuza taarifa potofu

    Kashupaa kwenye tangazo la mualiko na amani. Tone yake tu inasema yeye mwenyewe hana amani na anachokiongelea hakina amani na huko aliko hakuna amani. Wazungu wanakusoma mpaka body language.
  3. Buyaka

    Kutokana na Maelezo ya Tundu Lissu, Mwalimu Nyerere ndio chanzo cha utawala mbovu unaoendelea Afrika Mashariki

    Na si kwamba Gen Z walikuwa hawajazaliwa. Nyerere alienda na fimbo UDSM akawatandika fimbo, akafunga chuo. Wakarudi kwa masharti makali ya Naapa Naahidi Mbele ya Chama, Mapinduzi ntakulinda mpaka kufa.... Akateka wakina Hanga, akatukana kina Kambona, akafukuza chamani kina Marsha. Masha...
  4. Buyaka

    Tuvae viatu vya Rais Samia, tumpe ushauri Kwa upole bila mihemko

    Kama Mtume S.A.W. alikuwa na hulka na mapito ya kinyenyekevu, upole na misamaha, ni kwa nn Waislam wengi wanakuwa na militant disposition na wanazi wakali kwenye utetezi wa Waislam wenzao hata ambapo hakuna logic ya kumtetea mwenzao ambae kaharibu. Mafundisho au influence hiyo inapatikana...
  5. Buyaka

    PostGE2025 Wahadhiri wa dini ya kiislamu: Rais Samia anapingwa kwa uzanzibari wake na uislamu wake, hakuna kipindi watu walitekwa kama cha Magufuli

    Muungano unatutafuna. Hoja ya Muungano kwa kigezo cha usalama haitatumika tena, imekufa! Miaka ya 90 G55 walitaka kuurekebisha. Nyerere akawatukana na kuwabaghaza. Hakutaka wazo lake life au lionekane lilikuwa na makosa.
  6. Buyaka

    Ukweli Mchungu: Samia haumizwi na vifo vya Watanganyika, hajali chochote kuhusu Watanganyika. Uteuzi wa Baraza la Mawaziri ni kielelezo tosha

    Wamevunja Muungano bila kujijua. Asante Sana Eeeh Mungu. Watanganyika sasa wameona, wameelewa Muungano huu ukoje. Kwenye Katiba mpya unadhani Mtanganyika gani atakubali kulichukulia suala la Muungano kirahisi rahisi ??? Wakati wa mjadala wa Katiba ukifika, Wazanzibar ambao kwa sasa ndio wako...
  7. Buyaka

    TANZIA Mchekeshaji maarufu MC Pilipili afariki dunia

    Hivi CCM huwa inawapa tenda mpaka wachekeshaji ? Yani watu wanajiuza na kuuza nchi yako bila aibu
  8. Buyaka

    PostGE2025 Madereva Bodaboda na Bajaji Tanga yapiga Marufuku Wanachama Kushiriki Maandamano ya Desemba 9

    Nilikuwa sijaiona hiyo picha ya Samia kifuani kwake. Hajaenda shule masikini ya Mungu. Handlers wake ndani ya CCM hawakumshauri atoe picha ya Samia kifuani ili awe na credibility ???
  9. Buyaka

    PostGE2025 Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Sasa kwa nn amtoe hazina mtu anaepitisha mapesa yao ?????
  10. Buyaka

    PostGE2025 Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Daaah.... aisee.... anashindana na wananchi kwenye kila kitu....
  11. Buyaka

    PostGE2025 Dkt. Mwigulu Nchemba ateuliwa kuwa Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    Na dhumuni ni nini kumpa mtu asiyependwa kama yeye ??
  12. Buyaka

    PostGE2025 Kamishna Mkuu Haki za Binadamu UN ataka uchunguzi mauaji ya Uchaguzi Tanzania, Lissu na wengine waliokamatwa kuachiliwa

    Ndio maana Trump anavitukanaga hivi vyombo vya kimataifa kuanzia NATO, EU, UN, WHO, ICC...
  13. Buyaka

    Tetesi: Inasemekana Abdul mtoto wa Rais Samia ana uraia wa UAE!

    Makamanda wa Palestina waliokuwa wanaishi mapangoni miaka yao yote huku wakichora mipango ya vita wanadangamya wenzao ? Natafuta jibu sipati. Kwa nini Mange Kimambi na Maria Sarungi na kina Racho Dangwa wanawazidi serikali ushawishi ???? Kina Gersonl Msigwa hawajasomea public relations...
  14. Buyaka

    Wananchi mtandaoni waiwakia kampuni ya Pepsi kumuondoa Diamond kama balozi wake, watishia kutotumia bidhaa zao

    Anhaaa... kumbe ataendela kuwa poa kwa sababu hakuna cancel culture. Na maandamano culture ipo ????????????
  15. Buyaka

    Je Mchengerwa ndiye aliyechochea Watanganyika kuuawa ?

    "Nawaagiza, tengenezeni amani ya Wananchi hawa, waende wakalime" Utawala wao ni kututengenezea sisi mazingira ya kwenda kulima Wanatuona sisi ni ma primitive, ma peasants wa vijijini.... maisha yetu kulima.....
Back
Top Bottom