Recent content by Buto

  1. B

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Jicho la kintelijensia, inawezekana Mtawa Suzan Bathlomeo alirushwa Ghorofani Bugando kufuta ushahidi

    Yawezekana ukawa sahihi lakini inasemekana kulikua hakuna maelewano mazuri kati ya Sr na Mkurugenzi mkuu wa hospital ya bugando
  2. B

    JamiiForums Tanzania Mwanza: Jicho la kintelijensia, inawezekana Mtawa Suzan Bathlomeo alirushwa Ghorofani Bugando kufuta ushahidi

    Siamini kama Sr.Suzy amejiua yawezekana kuna kitu nyuma yake kimefichika.
  3. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA: Major General Mstaafu Bakari Shabani amefariki

    R.I.P Major General, namkumbuka sana huyu mzee,leo nilikuwepo msibani ambapo shughuli zote had kuaga mwil wa marehemu zilisimamiwa nj JWTZ wakiongozwa na MP. AMBAPO AMIR JESHI MKUU RAIS JK ALIKUWEPO. MAZISHI YANATEGEMEA KUFANYIKA LEO JION HUKO ZANZIBAR
  4. B

    JamiiForums Tanzania Dr. Slaa Vs Lowassa Urais 2015

    Dr.slaa
  5. B

    JamiiForums Tanzania Kinana afanyiwa hujuma Kigoma:Mkuu wa wilaya atapatapa na kuituhumu CHADEMA

    Huyo key Nana alikua anapitisha yale meno ya tembo
  6. B

    JamiiForums Tanzania Bunge lageuzwa ukumbi wa ngonjera.

    Tenda wema nenda zako Lissu usingoje shukurani kwa Lijani Kigwangala
  7. B

    JamiiForums Tanzania Masasi: Nyumba ya mbunge, magari 20, trekta vyachomwa moto... Watu wawili wadaiwa kuuawa!

    Nchi inaangamia kwa viongozi watawala kukosa maarifa
  8. B

    JamiiForums Tanzania Mtwara: Vurugu kubwa zazuka, Mahakama, nyumba ya Waziri vimeteketezwa...

    Ni kweli nimeambiwa kuna vurugu zinaendelea na hii inatokana na Imani za kishirikina. Chanzo cha yote inasadikika kulikuwepo na wachawi watatu walikuwa wanasafiri kwa ungo, wakati wanapita maeneo ya karibu na nyumba ya Diwani ndipo wakaanguka. Diwani akachukua uamuzi wa kuwahifadhi nyumbani...
  9. B

    JamiiForums Tanzania Vurugu zimetokea Kibiti na Barabara imefungwa

    Mkoa wa Pwani
  10. B

    JamiiForums Tanzania Vurugu zimetokea Kibiti na Barabara imefungwa

    raia wanauliwa kila siku na polisi hata sehemu ambazo Chadema walipata kura nyingi. Hii inatokana na ubovu wa jeshi letu la polisi
  11. B

    JamiiForums Tanzania Vurugu zimetokea Kibiti na Barabara imefungwa

    kosa la marehemu sijafanikiwa kulijua mana mabomu ya machozi yalikuwa yanapigwa ndipo tulipo pata nafasi ya kupita ila kwa sasa hali ni mbaya vurugu zimekuwa kubwa na magar hayapiti kabisa
  12. B

    JamiiForums Tanzania Vurugu zimetokea Kibiti na Barabara imefungwa

    Wananchi wa kibiti wameziba barabara kwa mawe na magogo kutokana na kitendo cha polisi kumpiga hadi kumuuwa mwananchi mmoja hapo jana,mabomu ya machozi yanapigwa na polisi wanazidi kuongezeka toka Kibiti . Source;MIMI MWENYEWE NIPO SAFARINI KWENDA MTWARA
  13. B

    JamiiForums Tanzania Mkutano wa chadema wilaya ya Nachingwea,Liwale na kilwa

    pamoja sana
  14. B

    JamiiForums Tanzania KATIBU MKUU WA CCM; Mkorofi, Mgomvi, Mpiga kelele msibani, Ajirekebishe!

    Huyu mzee vipi mbona anajipanua miguu kama yupo anataka kujifungua?
  15. B

    JamiiForums Tanzania TANZIA Bob Makani afariki dunia

    R.i.p kamanda
Back
Top Bottom